MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,591
Ukiangalia tangu uchaguzi umeisha sehemu maarufu nchi nzima kisiasa ni Kinondoni. Sio Mkuu wa wilaya wala sio Meya wa UKAWA wote wako moto kwenye media kuonyesha wanafanya nini tofauti na kwingineko Dar es salaam na Tanzania yote.
Chanzo ni nini? Kwasababu vyombo vingi vya habari viko huku? au kwasababu kuna vitu vingi vya kusemea huko? Au kwasababu ikulu iko huko?
Chanzo ni nini? Kwasababu vyombo vingi vya habari viko huku? au kwasababu kuna vitu vingi vya kusemea huko? Au kwasababu ikulu iko huko?