Kwanini Kingunge alikisusa chama chake? Nadhani majibu tumeshayapata!

2kimo

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
2,029
2,072
Nadhani mwezi huu wengi wetu tumepata majawabu ya kingunge kukimbia chama!
Haikuwa rahisi kumuelewa Kingunge kipindi kile, ila wahenga husema........
"Asiyefunzwa na mamaye ufunzwa na ulimwengu"
Acha ulimwengu utufundishe sasa, yule babu alisema kabisa huyu hajui siasa, huyu hajapikwa na wala hajaiva ndani yetu, wazee wenzie walimpuuza, vijana wake wakamdhihaki, ila leo nahisi amesomeka vema kabisa!
 
Wanajikaza tu Lakini Jamaa Sasa Chama ni Mali yake Apangiwi na Mtu Mbili20 ni Yeye tu Peke yake Kwenye Chama Anavuta Fomu Kiubweeeeete Tena na Camera Kibao Mubashara Bila Chenga.
 
Mzee Kinguge ndio fundi muashi wa chama,kwa lugha nyepesi yeye ndio haswa mwenye hati miliki ya chama tokea Azimio la Arusha.
Tokea Mwl Nyerere,Kingunge ndio alijua undani wa siasa ya chama labda hata kuliko Mwl Nyerere.
Ndio maana tokea Maraisi Nyerere,Mwinyi,Mkapa,hadi Kikwete alikuwa yuko Ikulu kushauri raisi kuhusu siasa za chama.Lakini yaonekana hao watoto akina Nape walijifanya much know sasa inawagharimu,hata huyo Raisi Magu hajui vizuri siasa za chama zenye misingi ya Ujamaa na Kujitegemea
 
Magu atadhibitiwa tu na Makonda atamtem yeye Mwnyewe japo kwa style tofauti!

Nape Kabutua Kombolela Mwaka huu ni wa Uchaguzi CCM 2017

Kikao kilichopita alishapanik na kuishia kuweka Ndani Wajumbe na Wabunge Mahabusu

Atafundishwa kuwa Serikal na CCM ni Kama Mbingu na Ardhi

Hakuna Rais alieweza kuishinda CCM kuanzia Nyerere 1985 mpaka Jk 2015

Mkutano uliopita aliishia kumkaribisha Jk kuongea apoze joto la Mkutano

Hakuna haja ya kupiga Vote of no Confidence, dawa yake akizidi ukaidi tunachukua kadi yake ya Chama kwisha habari yake, tulifanya hivyo kwa Aboud Jumbe 1984 na tukataka kufanya hivyo kwa Samuel Sitta 2009.

ni ngumu lakini Rahisi kuliko kwenda Bungeni kwny vote of no confidence kwny Mlolongo mwingi wa Sheria na vichochoro vingi vya kutorokea
 
Hii ni point kuliko zote!
kumbe kuna njia nyingine nyepesi sana ya kumkabili huyu mtu na watu wake, ifike wakati sasa mtutulizie huyu mtu wenu maana ccm ndio mmetuletea!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom