Crystal clear
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 809
- 339
I like itEndelea na msimamo huo maana hata wanaume tunapenda mwanamke asie maharage ya mbeya. Na huo ndio htakatifu...anaependa ngono kabla ya ndoa huyo sio muoaji na hata akioa bado iman kwa mke wake sio kubwa akisafiri anaamin kwamba mkeo au mmewe atakuwa na mwingine .....kaza buti usijilegeze dada
Unahatarisha muungano ujue!!
Oh!
Ikawaje..??? Au ndo kama kusoma sijui basi nitumie picha...???Tulisemaga hivyo pia
Wa kukuowa kabla ya kukugegeda hayupo... Hayo yalikuwaga enzi za akina Kinjeketile, Mirambo, Mkwawa, Mangi sina, Songea, Chaburuma, mashujaa wa unyenyembe... Kwa hiki kizazi cha digitali, huo mzigo usipougawa, basi utaozea ndani..... Namna gani vipi labda uishie kwenye vitest tyubu, ndizi, dildoz etc etc japo nazo hazitakuowa, so bora akucharaze atakayekuowaHabari wana jf! Me am so exhausted na hizi mambo.. When i was a little gal i used to think that one day ntakuwa na boyfriend nicly one ambae hatuta make love mpaka anioe.. Kumbe i was wrong now am 22 kila anae nitongoza hutaka Ngono first mmh.. Honestl hiyo condition siiwezi What i decided niwe single as usually.. Nimegundua mwanaume without thos bra bra no relation its fun
Unahatarisha muungano ujue!!
Oh!
Ikawaje..??? Au ndo kama kusoma sijui basi nitumie picha...???
Nikiwa mwaka wa 3 chuo uzalendo ukanishinda i was 23...maana kila mtu anahadithia utamu wake nikajiona nakosa mengi na kwa jinsi nilivyokua sista duu hakuna aliyeamini km nilikua virgin..nikajilipuuua
hata hivo ulijitahidi sana ,miaka 23!!,wakati huo mchezo wabinti wanaanza wakiwa 15.Nikiwa mwaka wa 3 chuo uzalendo ukanishinda i was 23...maana kila mtu anahadithia utamu wake nikajiona nakosa mengi na kwa jinsi nilivyokua sista duu hakuna aliyeamini km nilikua virgin..nikajilipuuua...shoga yangu ambaye tulikua tunajipa moyo wote kutunza tunda alivyosikia nimejilipua hakukubali kupitwa nae akajilipua Ngalikihinja
hahahahaaa,mdau unavyoielezea utadhan unafafanua umuhim wa serikali 3,
hata hivo ulijitahidi sana ,miaka 23!!,wakati huo mchezo wabinti wanaanza wakiwa 15.
any way ndivyo ilivyo.msingi mzungushe,kaa naye kidogo mazingira fulani ukiona ana speed kubwa muambie akuambie matarajio yake kwako na mpango wake kwako.ukijirahisi fasta hata kama alikuwa na msimamo atakuchukulia ndyo walewale wagawa uroda.unless otherwise burudani hiyo mwisho wa siku huwa haikwepekiHabari wana jf! Me am so exhausted na hizi mambo.. When i was a little gal i used to think that one day ntakuwa na boyfriend nicly one ambae hatuta make love mpaka anioe.. Kumbe i was wrong now am 22 kila anae nitongoza hutaka Ngono first mmh.. Honestl hiyo condition siiwezi What i decided niwe single as usually.. Nimegundua mwanaume without thos bra bra no relation its fun
Kwakweli nilijitahidi kidogo..nilikua naogopa wanaume..muoga muoga..kufika chuo c tunakua tumekua kiakili nikaanza kujifunza kuwa ni normal tu ht kupiga story na wanaume...nahisi na shule PCB ilichangia kunifanya niwe muoga nikihofia nikianza tuu nitafeli...chuo na ugumu wote wa medical course nikajitosa🙂
!
!
elezea zaidi basi duh....umekatisha utamu
any way ndivyo ilivyo.msingi mzungushe,kaa naye kidogo mazingira fulani ukiona ana speed kubwa muambie akuambie matarajio yake kwako na mpango wake kwako.ukijirahisi fasta hata kama alikuwa na msimamo atakuchukulia ndyo walewale wagawa uroda.unless otherwise burudani hiyo mwisho wa siku huwa haikwepeki