Nimekuwa najiuliza, iweje chochote kizuri inakuwa Rwanda ndio ya kwanza, mfano Gender equality Rwanda ndio ipo juu hata zaidi ya US, nchi yenye ajali za barabarani chache duniani mojawapo ni Rwanda, mji wenye usafi Afrika Kigali, nchi yenye mvuto wa uwekezaji ni Rwanda, nchi ya mwisho kwa rushwa East and Central Afrika ni Rwanda. Kuna mtu ameniambia kuwa sababu ni Rwanda ni nchi ndogo, lakini sio kweli kwani Burundi ni kubwa? Kwani Zanzibar ni kubwa? Kwa ujumla sithani kama kuna uhusiano kati ya udogo wa nchi na kuwa na mambo mazuri kwa karibu kila jambo. wadau labda ni kwanini mambo mazuri imekuwa Rwanda tu?
Ntakujibu Niko Rwanda, Mtamzania kutoka Moshi. hawatu Ni waadilifu, wama ari ya kazi na sip wanafiki. wanardhika na mishahara yako ma lijta sio sisi uswahili tu ma wizi. kila jumamosi ya mwisho wa mwezi kuamzia saa 1:00 asubuhi had I SAA 6:00 Ni mganda meaning usafi was mazingira kazi zote zinasama hata Lagame anashika ufagio.kwa nini usafi usipatikane? barabara kuu kila mita 200 traffic hapokei rushwa anakupata na kosa speeding chochote ana kitabu fine ulipe ndio uchukue gari humlipi yeye unaenda Bank ya karibu. Gender: wanawake was huku no wakasiri akiambiwa kazi yako Ni hii? Ni hiyo hadengui kama hao wetu.b