Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,031
wewe ulishawahi kuona PK ana hutubia huku anacheka cheka hovyo kwa mizaha....inchi ile ina uingozi bora
Huu ni mfano wa kijinga na wakitoto na wa kimbwa kuwahi kuushuhudia hapa jf!
Mimi nadhani ni pazuri kwa kuwa wanakwaya wao walikwisha imba ''Kwetu Pazuri''
china,brazil,india ni nchi ndogo nazobarabara ya mwanza hadi mtwara
ingetosha kuitapakaza lami rwanda
nzima hadi chooni maghorofa ya dar
na mwanza yangetosha kuifanya
rwanda ndio nchi iliyoendelea zaidi
Afrika
usafiwa Arusha ungeiona rwanda
nzima safi
udogo wa nchi ya rwanda
umesababisha hivyo
china,brazil,india ni nchi ndogo nazo
kwa nini kila kitu kizuri rwanda ?
jibu hili swali
kama mojawapo ni uzalendo mengine ni udogo wa nchi
nchi zote za ulaya ni ndogo na zote zipo vizuri kimaendeleo unafikiri kwa nini ??
barabara ya mwanza hadi mtwara ingetosha kuitapakaza lami rwanda nzima hadi chooni maghorofa ya dar na mwanza yangetosha kuifanya rwanda ndio nchi iliyoendelea zaidi Afrika
usafi wa Arusha ungeiona rwanda nzima safi
udogo wa nchi ya rwanda umesababisha hivyo
umasikini wa nchi za afrika unatokana na vita hizo zote ni kwa ajili ya vita
Nimekuwa najiuliza, iweje chochote kizuri inakuwa Rwanda ndio ya kwanza, mfano Gender equality Rwanda ndio ipo juu hata zaidi ya US, nchi yenye ajali za barabarani chache duniani mojawapo ni Rwanda, mji wenye usafi Afrika Kigali, nchi yenye mvuto wa uwekezaji ni Rwanda, nchi ya mwisho kwa rushwa East and Central Afrika ni Rwanda. Kuna mtu ameniambia kuwa sababu ni Rwanda ni nchi ndogo, lakini sio kweli kwani Burundi ni kubwa? Kwani Zanzibar ni kubwa? Kwa ujumla sithani kama kuna uhusiano kati ya udogo wa nchi na kuwa na mambo mazuri kwa karibu kila jambo. wadau labda ni kwanini mambo mazuri imekuwa Rwanda tu?
umakini wa kiongozi wa nchi ndo unaifanya iwe hivyo ilivyo.

Ndugu kumbuka kadiri nchi inavyokuwa ndogo na fursa hupungua sawia,Australia ni nchi kubwa mno (Tanzania x 8 )lakini imeendelea,think big mkuu
Ukiwa na chumba kimoja ni rahisi kukisafisha kila siku, tofauti na ukiwa na hekalu.
Wamepata kiongozi sahihi. Siyo kama huyu wa kwetu anasema ESCROW ni pesa ya IPTL lakini wakati huohuo anaruhusu mwanasheria wake ajiuzuru kwa kushauri malipo yasiyo sahihi