Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,392
- 7,863
sababu ipi mbona hujaweka wewe unayethink big ??
sababu zipo nyingi mojawapo ni uzalendo na kuweka pembeni ubinafsi; next time usilete majibu mepesi kwa maswali magumu!
sababu ipi mbona hujaweka wewe unayethink big ??
Ukiingia kwenye kijiji chenye uongozi imara ni lazima uripoti kwa mwenyeki na uwaeleze umekuja kufanya nini, hata zamani serikali za mitaa ilikuwa hivyo
vipo vinchi vidogo halafu hujavitaja kama sio upofu ni nini ??
MO11 ni wewe kweli? tangu nikufahamu humu jf hili ni jibu la pumba namba moja, nakuomba ufute hii comment coz inakushushia hadhi.rwanda ni nchi ndogo sana hivyo ni rahisi kui control hapo ndipo walipopatia hakuna muujiza hapo
kwa hiyo udogo hauhusiki ??
hebu angalia nchi zilizoendelea asilinia kubwa ni vinchi vidogo vidogo kwa nini ??
sababu zipo nyingi mojawapo ni uzalendo na kuweka pembeni ubinafsi; next time usilete majibu mepesi kwa maswali magumu!
Udogo Wa Nchi Si Sababu,ni Kiongozi Makini Ndo Kaifanya Rwanda Ifike Hapo Ilipo,si Goigoi Kama Kikwete,zipo Nchi Nyingi Duniani Ndogo Kama Rwanda Ila Ni Zi Hovyo Sana,mfano,Djibouti,Burundi,Comoro,Nauru,Benin,Gabon,Togo,Gambia,hizo Ni Kwa Uchache Au Bado Unaleta Ligi Mkuu?
MO11 ni wewe kweli? tangu nikufahamu humu jf hili ni jibu la pumba namba moja, nakuomba ufute hii comment coz inakushushia hadhi.
alafu tafuta hii post "tofauti kat ya kagame na jk ni hii"
hapo utaelewa kwa nn rwanda imefikia hapo ilipo,
kwa nini kila kitu kizuri rwanda ?
jibu hili swali
kama mojawapo ni uzalendo mengine ni udogo wa nchi
nchi zote za ulaya ni ndogo na zote zipo vizuri kimaendeleo unafikiri kwa nini ??
barabara ya mwanza hadi mtwara ingetosha kuitapakaza lami rwanda nzima hadi chooni maghorofa ya dar na mwanza yangetosha kuifanya rwanda ndio nchi iliyoendelea zaidi Afrika
usafi wa Arusha ungeiona rwanda nzima safi
udogo wa nchi ya rwanda umesababisha hivyo
Nimekuwa najiuliza, iweje chochote kizuri inakuwa Rwanda ndio ya kwanza, mfano Gender equality Rwanda ndio ipo juu hata zaidi ya US, nchi yenye ajali za barabarani chache duniani mojawapo ni Rwanda, mji wenye usafi Afrika Kigali, nchi yenye mvuto wa uwekezaji ni Rwanda, nchi ya mwisho kwa rushwa East and Central Afrika ni Rwanda. Kuna mtu ameniambia kuwa sababu ni Rwanda ni nchi ndogo, lakini sio kweli kwani Burundi ni kubwa? Kwani Zanzibar ni kubwa? Kwa ujumla sithani kama kuna uhusiano kati ya udogo wa nchi na kuwa na mambo mazuri kwa karibu kila jambo. wadau labda ni kwanini mambo mazuri imekuwa Rwanda tu?
unamuuliza nani maswali ya kitoto?
Ukiwa na chumba kimoja ni rahisi kukisafisha kila siku, tofauti na ukiwa na hekalu.
rwanda ni nchi ndogo sana hivyo ni rahisi kui control hapo ndipo walipopatia hakuna muujiza hapo
Wamepata kiongozi sahihi. Siyo kama huyu wa kwetu anasema ESCROW ni pesa ya IPTL lakini wakati huohuo anaruhusu mwanasheria wake ajiuzuru kwa kushauri malipo yasiyo sahihi
mkuu bora umeliona hilo kuna watu hawaelewi ni rahisi kuitawala na kuiongoza rwanda kuliko Tanzania
kwa kutumia akili ya kuitawala rwanda ni vigumu kuitawala Tanzania
Ukiwa na chumba kimoja ni rahisi kukisafisha kila siku, tofauti na ukiwa na hekalu.
Kweli ni dikteta lakini kazi yake inaonekana, hata gadafi alikua dikteta lakini watu wake hawakua kama walivo sasaivi,kiufupi kagame ni dikteta hataki upinzani anang'ang'ania madaraka haiwezekani miaka zaidi ya 15 yeye tu
hivi kugawa laptop kwa kila mwanafunzi hapa tanzania inawezekana ??
Kumbe Burundi, Jamaica, Lesotho, Haiti, .......... ni mahekalu?
Burundi je?