"Soko la tarime litajengwa kabla ya huu mwaka kuisha" kassim majaliwa September mwaka Jana wilayani Tarime. Sahivi n November ya mwaka mwingine eneo hilo limegeuka open space . [emoji24]

Huyu tokea ile siku alosimama msikitini tena pale mbele anaposimama shehe kusalisha sina imani na kauli zake tena.
Wanasiasa ni bora muwe mnasema uongo kwenye majukwaa ya siasa lakini sio kwenye nyumba za ibada.