Kabisa wabunge ni wao tu Tanzania.Wendawazimu tuu Mi naona, kutaka kupata sympathy ya wananchi bure bure na wengine kujizulia matukio ili mradi siasa zao ziende. Wanaleta "Vioja" badala ya " Hoja" by the way sasa hivi tunaanza kuzoea, matukio mabaya yote yanawakutaga wao tuuu, na anaelalamikiwa ni yule yule tuuu
Sio kweli kuwa ukiwa mkosoaji ndiyo wewe mpinzani wa kweli au unawindwa na serikali.Ni kweli wabunge wa cdm wako wengi, lakini wote wanaolalamika ni wale wanaokosoa kiwaziwazi yale mkulu asiyotaka kusikia. Sio hao wa cdm hata wa ccm wasiokosoa kwa woga mwenendo uliopo na wameshasema hata ndani ya bunge. Mfano Nape na Bashe. Sasa ulitegemea mbunge wa cdm anayechangia kwa maandishi au kukaa kimya kabisa, zaidi ya kuonekana wakati wa kutoka nje nani ana shida naye. Na hao ndio wanaotakiwa na utawala wa awamu hii. Awamu hii inataka aidha usifie au ukae kimya. Sio kinyume na hapo.
Wewe ulitegemea Zitto alie na wakati wanachama wake wawili wamepewa nafasi serekalini? Kinachomfanya Zitto naye alie ni ile tabia yake ya kuzaliwa kwamba ni mtu anayekosoa kwa hoja. Lakini kwa bahati mbaya yuko kwenye awamu isiyotakiwa kukosoa bila kujali una hoja kiasi gani. Kiufupi haitakiwa wananchi wakukubali zaidi yake. Sasa hivi Zitto naye akiona Nissan yoyote karibu yake anaweza kufa kwa mstuko.
Polisi hao Wa intepol au hawa Wa mwigulu?Wanalalama halafu hawaendi kutoa taarifa police
Ushatoka kuw@ng@ naona au ndy unajiandaWaulize Lema, Nassari na Msigwa.
..labda hoja zao zinamkera mtu fulani mwenye kipara.
Sio kweli kuwa ukiwa mkosoaji ndiyo wewe mpinzani wa kweli au unawindwa na serikali.
Hao wenye makosa na kesi mahakamani ni kwa makosa yao wenyewe.
Mbunge kama Pauline Gekul wa Babati mjini Chadema ni mpinzani mzuri sana ila ni mstaarabu ndiyo maana huluti mikononi mwa Polisi.
Umejuaje kama SMG zipo kila kona?Kwasababu Nissan nyeupe pia zimeongezeka,
SMG pia zipo kila kona.
Tuulize wa Uganda kwanza ambao wenzano wamepelekwa kusikojulikana na polisi na wengine wamevurumishiwa mabomu majumbani. Ya Uganda hayana tofauti na Bongo sababu watu ni wale wale, akili zile zile na matokeo yatakuwa yale yale.Kuna kauli kuhusu baadhi ya Wabunge wa Chadema kuwa maisha yao kuwa rehemani na ni Mungu tu ndiyo anaowalinda kutokana na kwamba wako hatarini kuuwawa wakati wowote zinazidi kuongezeka kila siku?
Lengo lao ni nini Wabunge hawa? Mbona Chadema ina Wabunge wengi tu tena watoa hoja wazuri tu Bungeni lakini hata siku moja huwezi kusikia eti wanatoa kauli kuwa maisha yao yako hatarini?
Lakini wapo baadhi wao ni kila siku wanatishia kuuawa tu... shida yao nini hawa!?
Hata Lisu hajapona mnajifanya hamjui sababu.Wendawazimu tuu Mi naona, kutaka kupata sympathy ya wananchi bure bure na wengine kujizulia matukio ili mradi siasa zao ziende. Wanaleta "Vioja" badala ya " Hoja" by the way sasa hivi tunaanza kuzoea, matukio mabaya yote yanawakutaga wao tuuu, na anaelalamikiwa ni yule yule tuuu
Zito,Nape,Msukuma na Bashe nao wamehamia chadema?Kuna kauli kuhusu baadhi ya Wabunge wa Chadema kuwa maisha yao kuwa rehemani na ni Mungu tu ndiyo anaowalinda kutokana na kwamba wako hatarini kuuwawa wakati wowote zinazidi kuongezeka kila siku?
Lengo lao ni nini Wabunge hawa? Mbona Chadema ina Wabunge wengi tu tena watoa hoja wazuri tu Bungeni lakini hata siku moja huwezi kusikia eti wanatoa kauli kuwa maisha yao yako hatarini?
Lakini wapo baadhi wao ni kila siku wanatishia kuuawa tu... shida yao nini hawa!?