Kwanini kauli za baadhi ya Wabunge wa CHADEMA kwamba maisha yao yako hatarini zinaongezeka kila kukicha?

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,383
4,317
Kuna kauli kuhusu baadhi ya Wabunge wa CHADEMA kuwa maisha yao kuwa rehani na ni Mungu tu ndiyo anaowalinda kutokana na kwamba wako hatarini kuuwawa wakati wowote zinazidi kuongezeka kila siku?

Lengo lao ni nini Wabunge hawa? Mbona CHADEMA ina Wabunge wengi tu tena watoa hoja wazuri tu Bungeni lakini hata siku moja huwezi kusikia eti wanatoa kauli kuwa maisha yao yako hatarini?

Lakini wapo baadhi wao ni kila siku wanatishia kuuawa tu... shida yao nini hawa!?
 
Kuna kauli kuhusu baadhi ya Wabunge wa Chadema kuwa maisha yao kuwa rehemani na ni Mungu tu ndiyo anaowalinda kutokana na kwamba wako hatarini kuuwawa wakati wowote zinazidi kuongezeka kila siku?

Lengo lao ni nini Wabunge hawa? Mbona Chadema ina Wabunge wengi tu tena watoa hoja wazuri tu Bungeni lakini hata siku moja huwezi kusikia eti wanatoa kauli kuwa maisha yao yako hatarini?

Kwasababu Nissan nyeupe pia zimeongezeka,
SMG pia zipo kila kona.
 
Ni kweli wabunge wa cdm wako wengi, lakini wote wanaolalamika ni wale wanaokosoa kiwaziwazi yale mkulu asiyotaka kusikia. Sio hao wa cdm hata wa ccm wasiokosoa kwa woga mwenendo uliopo na wameshasema hata ndani ya bunge. Mfano Nape na Bashe. Sasa ulitegemea mbunge wa cdm anayechangia kwa maandishi au kukaa kimya kabisa, zaidi ya kuonekana wakati wa kutoka nje nani ana shida naye. Na hao ndio wanaotakiwa na utawala wa awamu hii. Awamu hii inataka aidha usifie au ukae kimya. Sio kinyume na hapo.

Wewe ulitegemea Zitto alie na wakati wanachama wake wawili wamepewa nafasi serekalini? Kinachomfanya Zitto naye alie ni ile tabia yake ya kuzaliwa kwamba ni mtu anayekosoa kwa hoja. Lakini kwa bahati mbaya yuko kwenye awamu isiyotakiwa kukosoa bila kujali una hoja kiasi gani. Kiufupi haitakiwa wananchi wakukubali zaidi yake. Sasa hivi Zitto naye akiona Nissan yoyote karibu yake anaweza kufa kwa mstuko.
 
Kuna kauli kuhusu baadhi ya Wabunge wa Chadema kuwa maisha yao kuwa rehemani na ni Mungu tu ndiyo anaowalinda kutokana na kwamba wako hatarini kuuwawa wakati wowote zinazidi kuongezeka kila siku?

Lengo lao ni nini Wabunge hawa? Mbona Chadema ina Wabunge wengi tu tena watoa hoja wazuri tu Bungeni lakini hata siku moja huwezi kusikia eti wanatoa kauli kuwa maisha yao yako hatarini?

Lakini wapo baadhi wao ni kila siku wanatishia kuuawa tu... shida yao nini hawa!?
Shida ipo kwa mtawala huyu anayewinda roho za watu
 
Wendawazimu tuu Mi naona, kutaka kupata sympathy ya wananchi bure bure na wengine kujizulia matukio ili mradi siasa zao ziende. Wanaleta "Vioja" badala ya " Hoja" by the way sasa hivi tunaanza kuzoea, matukio mabaya yote yanawakutaga wao tuuu, na anaelalamikiwa ni yule yule tuuu
 
Tunatambua kwamba kuna watu mmefurahishwa na shambulio la Mh Tundu Lissu , hata hivyo subirini laana ya Mungu .
 
Kuna kauli kuhusu baadhi ya Wabunge wa Chadema kuwa maisha yao kuwa rehemani na ni Mungu tu ndiyo anaowalinda kutokana na kwamba wako hatarini kuuwawa wakati wowote zinazidi kuongezeka kila siku?

Lengo lao ni nini Wabunge hawa? Mbona Chadema ina Wabunge wengi tu tena watoa hoja wazuri tu Bungeni lakini hata siku moja huwezi kusikia eti wanatoa kauli kuwa maisha yao yako hatarini?

Lakini wapo baadhi wao ni kila siku wanatishia kuuawa tu... shida yao nini hawa!?
Kwa sababu watesi na walotaka kumuua lisu hawajakamatwa wakati wanajulikana kuwa ni watu wa kitengo
 
Kuna kauli kuhusu baadhi ya Wabunge wa Chadema kuwa maisha yao kuwa rehemani na ni Mungu tu ndiyo anaowalinda kutokana na kwamba wako hatarini kuuwawa wakati wowote zinazidi kuongezeka kila siku?

Lengo lao ni nini Wabunge hawa? Mbona Chadema ina Wabunge wengi tu tena watoa hoja wazuri tu Bungeni lakini hata siku moja huwezi kusikia eti wanatoa kauli kuwa maisha yao yako hatarini?

Lakini wapo baadhi wao ni kila siku wanatishia kuuawa tu... shida yao nini hawa!?
Wajiue tu ili tuelewe moja.
 
Wameshindwa kutekeleza ahadi zao so wanatafta huruma ya wananchi
 
Back
Top Bottom