Kwanini kauli za baadhi ya Wabunge wa CHADEMA kwamba maisha yao yako hatarini zinaongezeka kila kukicha?

Tuulize wa Uganda kwanza ambao wenzano wamepelekwa kusikojulikana na polisi na wengine wamevurumishiwa mabomu majumbani. Ya Uganda hayana tofauti na Bongo sababu watu ni wale wale, akili zile zile na matokeo yatakuwa yale yale.
Ya Uganda ni uganda
 
Ni kweli wabunge wa cdm wako wengi, lakini wote wanaolalamika ni wale wanaokosoa kiwaziwazi yale mkulu asiyotaka kusikia. Sio hao wa cdm hata wa ccm wasiokosoa kwa woga mwenendo uliopo na wameshasema hata ndani ya bunge. Mfano Nape na Bashe. Sasa ulitegemea mbunge wa cdm anayechangia kwa maandishi au kukaa kimya kabisa, zaidi ya kuonekana wakati wa kutoka nje nani ana shida naye. Na hao ndio wanaotakiwa na utawala wa awamu hii. Awamu hii inataka aidha usifie au ukae kimya. Sio kinyume na hapo.

Wewe ulitegemea Zitto alie na wakati wanachama wake wawili wamepewa nafasi serekalini? Kinachomfanya Zitto naye alie ni ile tabia yake ya kuzaliwa kwamba ni mtu anayekosoa kwa hoja. Lakini kwa bahati mbaya yuko kwenye awamu isiyotakiwa kukosoa bila kujali una hoja kiasi gani. Kiufupi haitakiwa wananchi wakukubali zaidi yake. Sasa hivi Zitto naye akiona Nissan yoyote karibu yake anaweza kufa kwa mstuko.
Mnajitoa kafara ili wazungu waone hakuna amani, sasa huko US hali ya amani hakuna na mabwana zenu wanauana
 
Kuna kauli kuhusu baadhi ya Wabunge wa Chadema kuwa maisha yao kuwa rehemani na ni Mungu tu ndiyo anaowalinda kutokana na kwamba wako hatarini kuuwawa wakati wowote zinazidi kuongezeka kila siku?

Lengo lao ni nini Wabunge hawa? Mbona Chadema ina Wabunge wengi tu tena watoa hoja wazuri tu Bungeni lakini hata siku moja huwezi kusikia eti wanatoa kauli kuwa maisha yao yako hatarini?

Lakini wapo baadhi wao ni kila siku wanatishia kuuawa tu... shida yao nini hawa!?
Madhara ya Albadri
 
Taarifa za hivi karibuni zinasema kuwa kumekuwepo na ongezeko kubwa la wagonjwa wa akili nchini katika kipindi cha mwaka mmoja ambapo wameongezeka kutoka wagonjwa laki sita hadi laki saba!
 
Dhana potofu. jibu hoja
Unataka ujibiwe hoja gani? Hivi akili zenu zinapoondolewa vichwani huwa mnaridhia au huwa mnaonyeshwa bunduki wakati zikitolewa? Huu muda uliotumia kuleta ujinga wako hapa ungeutumia kumuuliza kamanda Mambosasa ni kwanini hajamkamata Jerry Muro kwa kutamka kuwa Lema na Nassari wapotezwe?
 
Kuna kauli kuhusu baadhi ya Wabunge wa Chadema kuwa maisha yao kuwa rehemani na ni Mungu tu ndiyo anaowalinda kutokana na kwamba wako hatarini kuuwawa wakati wowote zinazidi kuongezeka kila siku?

Lengo lao ni nini Wabunge hawa? Mbona Chadema ina Wabunge wengi tu tena watoa hoja wazuri tu Bungeni lakini hata siku moja huwezi kusikia eti wanatoa kauli kuwa maisha yao yako hatarini?

Lakini wapo baadhi wao ni kila siku wanatishia kuuawa tu... shida yao nini hawa!?
Halima mdee alikamatwa na kuwekwa ndani na yule mkuu wa wilaya mwenye maono madogo kushinda wote yule wa kinondoni kisa katoa maoni yake juu ya mimba za wasichana walio mashuleni. Lisu alikamatwa na kuwekwa ndani kwa kutoa habar za ndege iliyokamatwa canada.
Msigwa kakamatwa kwa kutoa maoni juu ya waliomshambulia lisu.
Lema kakaa ndani miezi minne kisa katoa maono/ndoto yake dhidi ya raisi
Nassar na lema wametoa ushahidi wa ununuaji wa binadamu/ madiwani mbele ya kadamnasi sasa kila mtu hata mtoto anajua wale wapumbavu wa arusha walinunuliwa.....
 
Kuna kauli kuhusu baadhi ya Wabunge wa Chadema kuwa maisha yao kuwa rehemani na ni Mungu tu ndiyo anaowalinda kutokana na kwamba wako hatarini kuuwawa wakati wowote zinazidi kuongezeka kila siku?

Lengo lao ni nini Wabunge hawa? Mbona Chadema ina Wabunge wengi tu tena watoa hoja wazuri tu Bungeni lakini hata siku moja huwezi kusikia eti wanatoa kauli kuwa maisha yao yako hatarini?

Lakini wapo baadhi wao ni kila siku wanatishia kuuawa tu... shida yao nini hawa!?

Kiki tu za kijinga!!!!
 
Kwahiyo unataka walalamike mabwege wa lumumba wakati hawana cha kukosoa kila kitu kizuri kwao hata kama ni cha hovyo hovyo kisa kuogopa kipara na miwani.wewe na wenzio mmerogwa
 
Kuna kauli kuhusu baadhi ya Wabunge wa Chadema kuwa maisha yao kuwa rehemani na ni Mungu tu ndiyo anaowalinda kutokana na kwamba wako hatarini kuuwawa wakati wowote zinazidi kuongezeka kila siku?

Lengo lao ni nini Wabunge hawa? Mbona Chadema ina Wabunge wengi tu tena watoa hoja wazuri tu Bungeni lakini hata siku moja huwezi kusikia eti wanatoa kauli kuwa maisha yao yako hatarini?

Lakini wapo baadhi wao ni kila siku wanatishia kuuawa tu... shida yao nini hawa!?
Bashe nae yupo CHADEMA????
 
Kama wanatishiwa wasiseme sababu wengine hawasemi?

Kwani kutishiwa ni kama hewa kwamba kila mmoja anavuta?
 
Back
Top Bottom