Kwanini kauli za baadhi ya Wabunge wa CHADEMA kwamba maisha yao yako hatarini zinaongezeka kila kukicha?

yaani unamsikiliza Mh Nassari mpaka unacheza tu.... eti anaogopa hata kupanda ndege, simu kuna muda halali nazo kama juzi hapa Dar eti simu zake alilalanazo Halima Mdee ili wasi mtrack
Inasikitisha sana mkuu.
Akili zao sijui wameweka rehani Benki walipochukua mikopo.
 
The only way to break the stalemate is to allow in the independent investigators. However, whatever the likes of you may say, without fulfilling this candid requirement, the accusing finger will ever be pointed at, "the powers that be".
And when you are pointing that so called "accusing finger" how many fingers are pointing back at you!??????
Shame on you!
 
Kuna kauli kuhusu baadhi ya Wabunge wa Chadema kuwa maisha yao kuwa rehemani na ni Mungu tu ndiyo anaowalinda kutokana na kwamba wako hatarini kuuwawa wakati wowote zinazidi kuongezeka kila siku?

Lengo lao ni nini Wabunge hawa? Mbona Chadema ina Wabunge wengi tu tena watoa hoja wazuri tu Bungeni lakini hata siku moja huwezi kusikia eti wanatoa kauli kuwa maisha yao yako hatarini?

Lakini wapo baadhi wao ni kila siku wanatishia kuuawa tu... shida yao nini hawa!?

Kwa sababu mnatumia bunduki badala ya hoja na wao bunduki hawana.
 
Kuna kauli kuhusu baadhi ya Wabunge wa CHADEMA kuwa maisha yao kuwa rehani na ni Mungu tu ndiyo anaowalinda kutokana na kwamba wako hatarini kuuwawa wakati wowote zinazidi kuongezeka kila siku?

Lengo lao ni nini Wabunge hawa? Mbona CHADEMA ina Wabunge wengi tu tena watoa hoja wazuri tu Bungeni lakini hata siku moja huwezi kusikia eti wanatoa kauli kuwa maisha yao yako hatarini?

Lakini wapo baadhi wao ni kila siku wanatishia kuuawa tu... shida yao nini hawa!?
Wanamkosoa mtakatifu, ova.
 
Back
Top Bottom