Kwanini katuni za watoto wadogo huwa zinategenezwa kwa mfano wa wanyama na ndege?

Soma kwanza kitabu cha hadithi za Esopo halafu ndiyo U connect dots.....
 
HII INAINGIAJE SIASANI?
SHULE ZIMEFUNGULIWA SIJUI MNAPATA WAPI MUDA WA KUANDIKA HAYA
 
Kule ulaya hakuna hifadhi za wanyama pori ivo wanatumia cartoon izo kuwaburudisha watoto wao, ingawa wewe hifadhi zipo jirani nawe si dhan kama mtoto wako ulisha wahi mpeleka mkuu
 
Nasubili kuelimishwa.
Kuna mambo ambayo yanamfaa mbunifu au mtunzi ktk kuandaa kazi za watoto. Mfano, kuna mambo ya kuzingatia ktk uandishi wa vitabu vya watoto k.v, matumizi ya nyimbo, picha, maandishi makubwa, lugha nyepesi, kumchora mtoto kama mshindi(huwezi kuta mtoto anachorwa km asiyeweza jambo; rejelea kitabu cha darasa la 3 hadithi ya UPATU SHUJAA n.k. Nije kwenye swali lako. Watoto hupenda sana matumizi ya picha za wanyama kama panya, paka,kobe,bata,ngedere n.k ktk vibonzo ili wafurahi na si kujifunza ndio maana ktk fani ya kuchekesha ili mwanaume achekeshe sharti avae uhusika wa kike(kuvaa mavazi ya kike na kutengeneza umbo la kike) lengo likiwa ni kuchekesha tu. Mtoto hajafikia umri wa kuangalia filamu za Bongo kujifunza zaidi ya kuharibikiwa na ndo maana kuna hatua za ukuaji. Kwa umri aliopo ni wa kufurahi, kuonywa, kuimba nk.
MWENYE NYONGEZA
 
Mkuu umejibu kwa weledi uliotukuka asante
Sana nadhan muuliza swali hata hadi za sungura na fisi ,paz na jogoo nk hajazikutaga kamkuta tom na jerry
 
Kuna mambo ambayo yanamfaa mbunifu au mtunzi ktk kuandaa kazi za watoto. Mfano, kuna mambo ya kuzingatia ktk uandishi wa vitabu vya watoto k.v, matumizi ya nyimbo, picha, maandishi makubwa, lugha nyepesi, kumchora mtoto kama mshindi(huwezi kuta mtoto anachorwa km asiyeweza jambo; rejelea kitabu cha darasa la 3 hadithi ya UPATU SHUJAA n.k. Nije kwenye swali lako. Watoto hupenda sana matumizi ya picha za wanyama kama panya, paka,kobe,bata,ngedere n.k ktk vibonzo ili wafurahi na si kujifunza ndio maana ktk fani ya kuchekesha ili mwanaume achekeshe sharti avae uhusika wa kike(kuvaa mavazi ya kike na kutengeneza umbo la kike) lengo likiwa ni kuchekesha tu. Mtoto hajafikia umri wa kuangalia filamu za Bongo kujifunza zaidi ya kuharibikiwa na ndo maana kuna hatua za ukuaji. Kwa umri aliopo ni wa kufurahi, kuonywa, kuimba nk.
MWENYE NYONGEZA
sana..... Wanajf tuige mfano wa kujibu maswali ya wenzetu sio kutoa jibu tu ilimrad jibu.. Ubarikiwe sna moi.
 
Back
Top Bottom