Sidhani kama ni hivyo sio kwamba ameogopa kumuona nedim hapo akakumbuka mabaya aliyomfanyiausimsahau mke wa mr agha anajua kudekeza watoto wake hasa yule muhuni mpenda totozi jana alitaka kulia baada ya mr agha kumpatia nedim yule muuguzi kumbe kasha data.
atakuwa kamzimia mazima muuguzi maana muuguzi nae ni bonge la pisi sema tu ndo ivo hawana tako 😄😄Sidhani kama ni hivyo sio kwamba ameogopa kumuona nedim hapo akakumbuka mabaya aliyomfanyia
Nahisi mke wa mr agah na mtoto wake wa kiume wanahusika na ugonjwa wa nedim
Iko vizuri sana ilesaivi tupo the city naona imeonyesha mwanzo mwema tupo episodes ya tano ni nzuri.
Kuna mwisho usio tabirika na meisho wa kusikitisha ....huu ni mwisho wa kisikitsha sana mnooMkuu sikia filamu ikiisha kwa mwisho usiotabirika ndo kuna utamu wake au unataka iwe kama bongo unajua kila kitu kabla ya kufika mwisho.
Nb:huwa sifuatilii hizo tamthilia.
A manJinsia yako pls
Alaf inawah kuisha dadeki yani haifiki dakaka 30ni nzuri sana ila azam wanakera kwa matangazo.
Anayake hyo nisha mjubu subiri tuone lengo lakekumbe hua kuna ujinsia kwenye hivi vitu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Achana nao hao wanajifanya kuponda wanaume wanaongalia [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na uku wao wanaangalia kimyakimya
Kwani bongo movie wana Ending kwenye movie zao ...kwanza wana hata movie kweli ...?Sio kila story ina happy ending, tatizo mshazowea bongo movie.
Kulia sijalia ila iliniuma sanaaaa japo mwanangu alikua EmirAaahh kumbe nyie ndo mlolia lia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sanaItoshe kusema tamthilia yangu ya mwisho kuiangalia ni "Marimar" mwaka 2011, baada ya hapo ni short movies tu[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hivi tumewakosea nini sisi tusiokuwa na tako [emoji2296][emoji2296][emoji2296]ila
atakuwa kamzimia mazima muuguzi maana muuguzi nae ni bonge la pisi sema tu ndo ivo hawana tako [emoji1][emoji1]
Ndio kawaida yao hao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣 lakin nyie ni pisi kaliHivi tumewakosea nini sisi tusiokuwa na tako [emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Ndio mnavyotujaza hivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] lakin nyie ni pisi kali
bora hata zainabu ndo kidogo alikua na katako ukimcheki nihan sasa na ujuaji wake yupo flat kama Leila ila ni pisi hatare.🤣🤣Ndio mnavyotujaza hivi
We ugonjwa wako wenye tako mkuubora hata zainabu ndo kidogo alikua na katako ukimcheki nihan sasa na ujuaji wake yupo flat kama Leila ila ni pisi hatare.[emoji1787][emoji1787]
napenda wasio na tako ila ubaya hua mna leta stressWe ugonjwa wako wenye tako mkuu