marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,110
- 1,951
Hahaha sure bora za kimarekani asee ataring lazina abaki haiNdo maana naangaliaga Animation na comedy tu sku hizi, movie ni entertainment lakini imagine unapoangalia movie then unakua disappointed.
saivi tupo the city naona imeonyesha mwanzo mwema tupo episodes ya tano ni nzuri.Tamthilia za kituruki tam bana na lazima ni kiri nme kua mtazamaji mzuri sana wa hizi tamthilia za kituruki tangu Azam waanzishe huu mradi wao.
Kunazia kwenye Magnificent century(SULTAN) hadi hapa tulipo sihia kwenye KARA SEVDA(endless love) jamaa wako vizuri kuanzia story zao waahusika sound track kwa kifupi wako vizuri sana.
Wanatumia teknolojia za kawaida sana wala sio ma effect au ma CGI ya kutiisa ..ni vitu ambavyo hata wabongo wakiamua kua serious wanaweza kufanya.
Kara sevda imeisha leo japo mwisho wake umekua wa kuvunja sana moyo ni wmisho wa kusikisha sana hasa kwa wapenda haki ,na mpaka sasa sijaelewa kwanini story writer aliamua story ya hii tamthilia kishia hivi?
Kwa matazamo wa haraka ni kama mtunzi anajaribu kutuachia ujumbe kwamba “hata pambanie vipi jambo hauta fanikisha kulipata na hata ukilipata hauta ishi nalo “ ,why ! kwanini atuachie ujumbe wa kukatisha tamaa hivi?
Kifo cha Kemal mwishoni mwa tamthilia hii ni mwisho usio na matumaini kabisa ni mwisho ambao unanufaisha zaidi wahalifu kuliko watenda haki! ,, a kimsingi hajaacha somo linalo ijenga jamii kwa namna yoyote ile!
Kemal alipaswa kuishi zaidi ,kipindi chote cha miaka mitatu amekua akipigania uhai wake na upendo wake wa dhati kwa haki na kweli ,,tena alifata sharia hata kama ilikua ina mbana yeye mwenyewe au watu wake wa karibu!,Kwanini asiwe na happy ending ? ilitakiwa awe mchafu ndio ashinde akiwa hai?
Kimsingi Emir ni mshindi kasababu Agenda yake kwa kipindi chote ilikua ni Kemal na Nihan wasi ish ipamoja na Ameshinda! ,,,maana yake ?,,kwamba tunatakiwa kuwa watu kama Emir ili tushinde vita zetu. Mtunzi wa story alikua anajaribu kutuamisha kitu gani hapa .
Moja kati ya watu wadanganyifu ni Zaynab amemuuza kaka yake zaidi ya mara tatu na anaishi lakini Nihan alie kua Loyal mkweli na alie pambania upendo wa kweli ame baki na donda lisilo pona wakati Zayna kabaki a mwnaume anae mpenda Hakhan serious me nadhani title yah ii tamthilia ilifaa kua “THE EVIL WINS” na sio “ENDLESS LOVE”
View attachment 1682977
Hahaha sure bora za kimarekani asee ataring lazina abaki hai
Naaamsaivi tupo the city naona imeonyesha mwanzo mwema tupo episodes ya tano ni nzuri.
ni nzuri sana ila azam wanakera kwa matangazo.Naaam
Toka imeanza ipo moto nipo naangalia marudio yake apa
Matangazo ndio yanaingiza pesa kwao mkuu tuvumilie tuni nzuri sana ila azam wanakera kwa matangazo.
kumbe hua kuna ujinsia kwenye hivi vituJinsia yako pls
🤣🤣🤣 bora hayo matangazo ya biashara kuliko hayo anyway endelea kumfuatilia huyo binti machepele sema cjawafahamu majina wote.Matangazo ndio yanaingiza pesa kwao mkuu tuvumilie tu
Achana nao hao wanajifanya kuponda wanaume wanaongalia [emoji1787][emoji1787][emoji1787] na uku wao wanaangalia kimyakimyakumbe hua kuna ujinsia kwenye hivi vitu
Cemre binti muuguzi anayemuuguza nedim, ceren mdogo wake cemre ambaye yeye anajua kaletwa pale na bibi yake kuolewa na mtoto wa mr agah[emoji1787][emoji1787][emoji1787] bora hayo matangazo ya biashara kuliko hayo anyway endelea kumfuatilia huyo binti machepele sema cjawafahamu majina wote.
Damla pisi ya civan huko mbeleniCemre binti muuguzi anayemuuguza nedim, ceren mdogo wake cemre ambaye yeye anajua kaletwa pale na bibi yake kuolewa na mtoto wa mr agah
Na binti wa mr agah anaitwa damla aliyemuingiza kwenye matatizo mtoto wa sehel anaitwa civan
Hata mimi naona na hivi amepewa kazi ya kumuendesha damlaDamla pisi ya civan huko mbeleni
🤣🤣🤣 na yule bibi kijakazi ananifurahisha akiwa anaongea na mr Agha sio kwa kulinda ugali wake vile.Hata mimi naona na hivi amepewa kazi ya kumuendesha damla
Hahahhaja[emoji1787][emoji1787][emoji1787] na yule bibi kijakazi ananifurahisha akiwa anaongea na mr Agha sio kwa kulinda ugali wake vile.
usimsahau mke wa mr agha anajua kudekeza watoto wake hasa yule muhuni mpenda totozi jana alitaka kulia baada ya mr agha kumpatia nedim yule muuguzi kumbe kasha data.Hahahhaja
Mimi ceren na bibi yake tu wananifurahisha sana mambo yao wakikaa sasa wakimsema sehel