Kwanini kanisa linaadhimisha misa siku ya mwaka mpya?

maganjwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
2,806
Reaction score
2,349
Hili suala linanipa taabu sana la mwaka mpya. Kwa mfano mimi Mkatoliki mwaka wa Kanisa unaanza mwezi wa kumi na moja lakini siku ya mwaka mpya wa tarehe moja January linasherekea pia usiku na asubuhi kuna misa.

Kwanini lisifanye hilo kwenye mwaka wa kanisa ambao unaanza mwezi wa kumi na moja?

Hebu mnitoe matongotongo
 
wachina wana mwaka wao mpya tofauti na huu wa tarehe moja januari, waethipia wana mwaka wao tofauti na huu wa tarehe moja january kama kuna mtu mwenye kujua mambo haya tusaidiane
 
Nafikiri ushawahi sikia BC (before christ) yaani kabla kuzaliwa kristo na AD (anno domino) kilatini hicho yaani mwaka wa kuzaliwa kristo, kuna mengi yalitokea miaka hiyo lakini miaka michache baada ya kuzaliwa kristo tarehe zilianza upya na mwaka namba 1, kwa hiyo kama wafuatilia vizuri historia sikukuu ya mwaka mpya ni sikukuu ya kuzaliwa mkombozi yesu kristo japo imetengwa kidogo na christmass ambayo ni tar 25 ni siku moja, ndio maana basi lazima tarehe moja kuwe na misa sababu bado ni mwendelezo wa sikukuu ya kuzaliwa mwokozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili suala linanipa taabu sana la mwaka mpya. Kwa mfano mimi Mkatoliki mwaka wa Kanisa unaanza mwezi wa kumi na moja lakini siku ya mwaka mpya wa tarehe moja January linasherekea pia usiku na asubuhi kuna misa.

Kwanini lisifanye hilo kwenye mwaka wa kanisa ambao unaanza mwezi wa kumi na moja?

Hebu mnitoe matongotongo
Sadaka bab
 
Kanisa linaadhimisha misa kila siku labda kama wewe si muumini, ila misa ya mkesha inakuwa na watu wengi maana wengi wanamshukuru Mungu uuona mwaka na hawashukuru kuiona siku kwa kwenda kanisani maana kila siku kuna ibada, kama ni mkesha ni kuwapa nafasi wanaotaka kuupokea mwaka wakiwa kwenye nyumba ya ibada.
 
naona kama kuna point hapa maana historia huandikwa kwa reference mbili BC na AD yote ni kabla ya kristu na baada ya kristu na kama ni hivyo kuna ukweli kuwa mwanzoni kuzaliwa kwa yesu uliadhimishwa tarehe moja januari na sio 25 December
 
Kanisa linaadhimisha misa kila siku labda kama wewe si muumini, ila misa ya mkesha inakuwa na watu wengi maana wengi wanamshukuru Mungu uuona mwaka na hawashukuru kuiona siku kwa kwenda kanisani maana kila siku kuna ibada, kama ni mkesha ni kuwapa nafasi wanaotaka kuupokea mwaka wakiwa kwenye nyumba ya ibada.
sawa nakubaliana na wewe kila siku kuna misa ila hapo kwenye mkesha kwani wasifanye mkesha kwenye mwaka wa kanisa unaoanza mwezi wa kumi na moja na watu wakashuru mungu kwa kuanza mwaka mpya mpaka wasubir mwaka wa tarehe moja januari?
 
Mimi sioni kwa nini kanisa lisiadgimishe mkesha wa mwaka mpya wa dunia maana ni kuwapa muda waamini kushukuru Mungu maana hata mipango ya waamini hupanga kwa mwaka wa kidunia.
 
haya mambo mimi naona kuna siri kubwa ndani yake sio bure hasa kanisa katoliki maana kuna vitu ukivichunguza pale kanisani maadhimisho mengi kama noeli na tarehe ya kuzaliwa yesu, na biblia ukisoma yesu alitakiwa kuzaliwa mwezi wa tatu ukisoma sehemu ile maria alipotembelea elizabeth kitoto kichanga kiliruka tumboni kwa elizabeth ambaye ni yohana mbatizaji wakati huo bikira maria alikuwa na mimba tayari ingawa hatujui ni ya miezi mingapi
 
Heshima kwako Mkuu, nijuavyo mimi hakuna uhusiano wowote kati ya kuzaliwa kwa Yesu na calendar, ifahamike hii tunayotumia sasa ni Gregorian calendar ilianza kutumika October 1582 ( imepewa jina kutoka kwa Pope Gregory XIII) na sasa neno linalotumika ni CE=Common Era ( Zamani AD) na BCE = Before Common Era ( Zamani BC) Mpaka sasa hakuna Proved Historical au Archeological evidence ya kuzaliwa kwa Yesu
Nafikiri ushawahi sikia BC (before christ) yaani kabla kuzaliwa kristo na AD (anno domino) kilatini hicho yaani mwaka wa kuzaliwa kristo, kuna mengi yalitokea miaka hiyo lakini miaka michache baada ya kuzaliwa kristo tarehe zilianza upya na mwaka namba 1, kwa hiyo kama wafuatilia vizuri historia sikukuu ya mwaka mpya ni sikukuu ya kuzaliwa mkombozi yesu kristo japo imetengwa kidogo na christmass ambayo ni tar 25 ni siku moja, ndio maana basi lazima tarehe moja kuwe na misa sababu bado ni mwendelezo wa sikukuu ya kuzaliwa mwokozi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima kwako Mkuu, nijuavyo mimi hakuna uhusiano wowote kati ya kuzaliwa kwa Yesu na calendar, ifahamike hii tunayotumia sasa ni Gregorian calendar ilianza kutumika October 1582 ( imepewa jina kutoka kwa Pope Gregory XIII) na sasa neno linalotumika ni CE=Common Era ( Zamani AD) na BCE = Before Common Era ( Zamani BC) Mpaka sasa hakuna Proved Historical au Archeological evidence ya kuzaliwa kwa Yesu

Sent using Jamii Forums mobile app
asante mkuu hapo kwenye Common Era nimeipata
 
Hili suala linanipa taabu sana la mwaka mpya. Kwa mfano mimi Mkatoliki mwaka wa Kanisa unaanza mwezi wa kumi na moja lakini siku ya mwaka mpya wa tarehe moja January linasherekea pia usiku na asubuhi kuna misa.

Kwanini lisifanye hilo kwenye mwaka wa kanisa ambao unaanza mwezi wa kumi na moja?

Hebu mnitoe matongotongo

Kifupi ni kwamba kwenye muongozo hakuna misa ya mwaka mpya ni uamuzi wa paroko kuamua kufanya kama misa ya shukrani kumaliza mwaka kikawaida ila sio mwaka wa kanisa ( kiliturujia)

So inaweza kufanyika tu ibada ya shukrani na misa unayoshiriki asubuhi ni sio misa kwa ajili ya mwaka mpya bali ni sherehe kubwa ya UMAMA WA BIKIRA MARIA ambapo sherehe hii huangukia tarehe 1/jan

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Je! Sherehe za Mwaka Mpya zinawafaa Wakristo?

Kulingana na The World Book Encyclopedia, "Warumi walitenga siku hii [Januari 1] kwa Janus, mungu wa milango, milango, na kuanza. Mwezi wa Januari uliitwa baada ya Janus, ambaye alikuwa na nyuso mbili-moja ikitazama mbele na nyingine ikitazama nyuma. ”- (1984), Vol. 14, p. 237.

Tarehe na desturi zinazohusiana na sherehe za Mwaka Mpya zinatofautiana kutoka nchi moja hadi nyingine. Katika maeneo mengi kunywa ni sehemu ya sherehe. Walakini, Warumi 13:13 inashauri hivi: "Kama wakati wa mchana, na tutembee kwa adabu, sio katika karamu na sherehe na ulevi, sio katika mahusiano haramu na mwenendo mbaya, sio katika ugomvi na wivu."
 
haya mambo mimi naona kuna siri kubwa ndani yake sio bure hasa kanisa katoliki maana kuna vitu ukivichunguza pale kanisani maadhimisho mengi kama noeli na tarehe ya kuzaliwa yesu, na biblia ukisoma yesu alitakiwa kuzaliwa mwezi wa tatu ukisoma sehemu ile maria alipotembelea elizabeth kitoto kichanga kiliruka tumboni kwa elizabeth ambaye ni yohana mbatizaji wakati huo bikira maria alikuwa na mimba tayari ingawa hatujui ni ya miezi mingapi
Nadhani kanisa lilitaka tu kuwepo na maadhimisho ya kuzaliwa Yesu ila hawakupanga tarehe kamili kwa kufuata biblia. Unaweza sema wazungu walitaka kuila hii sikukuu mwishoni mwa mwaka maana ndio wengi wanakuwa mapumziko.
 
sawa nakubaliana na wewe kila siku kuna misa ila hapo kwenye mkesha kwani wasifanye mkesha kwenye mwaka wa kanisa unaoanza mwezi wa kumi na moja na watu wakashuru mungu kwa kuanza mwaka mpya mpaka wasubir mwaka wa tarehe moja januari?

Ule ni mwaka wa kanisa unahesabiwa tofauti na uanishia sherehe ya Kristu mfalme.....ili kutuhusu vipindi vingine vya kanisa kama majilio na kuzaliwa Bwana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kifupi ni kwamba kwenye muongozo hakuna misa ya mwaka mpya ni uamuzi wa paroko kuamua kufanya kama misa ya shukrani kumaliza mwaka kikawaida ila sio mwaka wa kanisa ( kiliturujia)

So inaweza kufanyika tu ibada ya shukrani na misa unayoshiriki asubuhi ni sio misa kwa ajili ya mwaka mpya bali ni sherehe kubwa ya UMAMA WA BIKIRA MARIA ambapo sherehe hii huangukia tarehe 1/jan

Sent from my iPhone using JamiiForums
hiyo leo ndo ujumbe mkubwa pale kanisani ulikuwa ukihubiriwa na paroko kwamba leo ni sherehe ya umama wa bikira maria nikapata shida sana ndo nikaanz akuwaza mpaka nikaja hapa kuandika
 
Hili suala linanipa taabu sana la mwaka mpya. Kwa mfano mimi Mkatoliki mwaka wa Kanisa unaanza mwezi wa kumi na moja lakini siku ya mwaka mpya wa tarehe moja January linasherekea pia usiku na asubuhi kuna misa.

Kwanini lisifanye hilo kwenye mwaka wa kanisa ambao unaanza mwezi wa kumi na moja?

Hebu mnitoe matongotongo
Huo mwaka wako wa kanisa sio wa kila kanisa .Sema wa wakatoliki.
Sisi Wengine mwaka wa kanisa letu Ni tatehe moja january
 
na ndo maana nimespecify kabisa kanisa katoliki sijasema wengine
 
Back
Top Bottom