Kwanini JWTZ walihusika??

hongera jesh la wananchi kukumbusha watu kuwa dola haichezewi, kuna wat
u walishadhan nchi yao peke.
 
nachoona hawa jamaa washaona polisi ni watu wa porojo sana hasa kwenye mambo ya msingi ndio maana wanaamua kuingia street kivyao vyao............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom