KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,902
- 9,323
- Thread starter
- #21
Sasa Bajabiri kwani unataka kusema hawakuwa wanataka kwenda Ikulu??Je kule walikuwa wanamfaata nani??kwakuwa Rais hakuwepo,Waziri Mkuu hakuwepo je ninani walikuwa wanamfaata??hakuna muislam alotaka kufika ikulu kuchukua nchi,,,,wewe mwenye elim pia haijakusaidia,waislam walisema wanataka ikulu???kwana ni mara ya kwanza kwa watanzania wa nchi hii kuandamana kwenda ikulu????
Kumbe hata matukio yanayotokea nchi hii huyajui MBWIGA WEWE
Last edited by a moderator: