Kwanini Julius Mtatiro alienda CUF? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Julius Mtatiro alienda CUF?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kiwalanikwagude, Jun 23, 2011.

 1. k

  kiwalanikwagude Member

  #1
  Jun 23, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Julius Mtatiro ni jembe kwelikweli hili halina ubishi hata John Mnyika anafahamu ukweli huu, ila mpaka leo nashindwa kuelewa kwanini mpambanaji huyu hakujiunga na CHADEMA badala yake akatimkia CUF?
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ndio mambo ya nitoke vipi?unaweza ukalamba kimeo na ndo yaliyomkuta jamaa.
   
 3. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Kwani imeandikwa wapi kuwa kila mtu lazima uwe CDM?
   
 4. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Kaskazini kunakukosesha usingizi eenh?!
   
 5. Ngaliba Dume

  Ngaliba Dume JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,604
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  We mtatiro bana...yan umeamua kutupia thread ili kupima upepo wa kauli yako ya jana kwa Mbowe?Tumeisoma gazetin...na umedhalilika kwel Muraaa...endelea kupma upepo umu jamvini
   
 6. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,611
  Likes Received: 4,719
  Trophy Points: 280
  Kwani Mara ni Kusini?
   
 7. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Noana ameamua kujifanyia analysis yake hapa!!! ajipange vizuri tu 2015 sio mbali sana tutakupa jimbo la Temeke
   
 8. T

  The Priest JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Tuambie kwanini ulienda cuf,sisi hatujui kwani we ni nani hata tufatilie details zako.
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,784
  Trophy Points: 280
  kakurupuka
   
 10. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2011
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Anajuwa ule msemo "Mafahali............hawakai pamoja. Kashililah alikuwa huko huko na Zitto ndio hivyo mguu ndani mguu nje. Kama unakubali kuwa ana akili basi akili yake ilishamtahadharishja.
   
 11. FiQ

  FiQ JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nahisi huyu mleta thread ni Mtatiro mwenyewe! Anyway Mtatiro kwa kauli yako kuponda uamuz wa Kamanda Mbowe nimekuona kituko yani hufai.
   
 12. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #12
  Jun 23, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  na mtatiro angegombea pengine angepita bila kupingwa. tatizo ubungo myika alikuwa ashatengeneza jina. ila jamaa ni kichwa
   
 13. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #13
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ni mtazamo wa mtoa mada, we ulitaka ataje CCM?
   
 14. Erick G. Mkinga

  Erick G. Mkinga Member

  #14
  Jun 23, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uroho wa madaraka..Aliahidiwa kazi akaona akimbilie tumbo kuliko maslahi ya wengi
   
 15. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #15
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,053
  Likes Received: 3,083
  Trophy Points: 280
  Mtatiro ana jazba na bado anakosa umakini kiasi flani,anaweza kuwa anatumia nguvu sana zaidi ya brain

  Na kwa nini useme hata Mnyika anakufahamu?ama unadhani Tanzania nzima ni Mnyika tu?acha kuendelea kumfikiria Mnyika kwani kiukweli jamaa ni zaidi yako ukubali usikubali
   
 16. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #16
  Jun 23, 2011
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nafikiri kama ni tumbo basi angekwenda CCM au CHADEMA kwani huko ruzuku inamuwezesha kutunisha tumbo lake.
   
 17. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #17
  Jun 23, 2011
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135

  Huoni kuwa hajakosea bali wewe ndie unaebadilisha hoja? Mtowa hoja kazungumza CDM na CUF hakuzungumzia CCM.
   
 18. N

  Nkomoji JF-Expert Member

  #18
  Jun 23, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimesoma hapa nikawakumbuka kina Silinde, Mbilinyi Joseph,Wenje Hezekiah,Machemli,Meshack Opulukwa,Kasulumbayi,Nyerere!Je huo ndio ukaskazini unaozungumzia?Hongera sana kama ndivyo(Irony)
   
 19. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #19
  Jun 23, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Ni mkristo
   
 20. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #20
  Jun 23, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Binafsi namuona jamaa hafit pale CDM kutokana na hulka yake ya kuropoka na kusema bila kufikiri, huwezi kufananisha na mnyika hata kidogo mnyika ni mtu wa kufakari jambn ndipo afanye comments
   
Loading...