kiwalanikwagude
Member
- Jun 8, 2011
- 52
- 19
Julius Mtatiro ni jembe kwelikweli hili halina ubishi hata John Mnyika anafahamu ukweli huu, ila mpaka leo nashindwa kuelewa kwanini mpambanaji huyu hakujiunga na CHADEMA badala yake akatimkia CUF?
kwani anatoka kaskazini?
kwani anatoka kaskazini?
kakurupukaKwani Mara ni Kusini?
Julius Mtatiro ni jembe kwelikweli hili halina ubishi hata John Mnyika anafahamu ukweli huu, ila mpaka leo nashindwa kuelewa kwanini mpambanaji huyu hakujiunga na CHADEMA badala yake akatimkia CUF?
Ni mtazamo wa mtoa mada, we ulitaka ataje CCM?Kwani imeandikwa wapi kuwa kila mtu lazima uwe CDM?
Uroho wa madaraka..Aliahidiwa kazi akaona akimbilie tumbo kuliko maslahi ya wengi
Ni mtazamo wa mtoa mada, we ulitaka ataje CCM?
Nimesoma hapa nikawakumbuka kina Silinde, Mbilinyi Joseph,Wenje Hezekiah,Machemli,Meshack Opulukwa,Kasulumbayi,Nyerere!Je huo ndio ukaskazini unaozungumzia?Hongera sana kama ndivyo(Irony)kwani anatoka kaskazini?
Ni mkristokwani anatoka kaskazini?