Kwanini jiji hili haliendelei?

Kwanini jiji hili haliendelei?

mkuu hizi picha ulipiga muda gani maana hapo ni kati ya barabara 4-7 na huwa mishe zinakuaga nyingi eneo hilo
Hio picha imepigwa kutoka kwenye jengo la tanesco mkoa.. Kwa mbele naona jengo la iliokua hotel cola prieto na kituo cha mafuta toc cha pale sigara
 
Jiji la umwiny hilo .. Kiukwel sis watu wa tanga tumeoza sana... Hatuko serious na kutafuta.... Fika mtaan kwangu kwanjeka kwa mahewa ndo utajua.. Tunardhika na vijisent vijana tunapenda stareh kuliko kaz ndo mana wengi wanasukumwa na waarabu tu....
 
Uwekezaji uliobakia kule ni mapenzi tu
Digrii ya kuloweka nguo za mpenzi asiondoke
Digrii ya mapishi na mahanjumati
Digrii ya kukata mauno
Digrii ya lugha tamu na laini ya kumtoa nyoka pangoni. ...
n.k. n.k. ......
Nahache mndughu.
 
mkuu hizi picha ulipiga muda gani maana hapo ni kati ya barabara 4-7 na huwa mishe zinakuaga nyingi eneo hilo
Hii picha itakuwa ilipigwa kipindi cha kampeni. Maana Lowassa alikuwa akitua mji wowote ule huoni mtu barabarani wote wapo uwanjani.
Jamani siasa noma.

Alikuja Kigoma mji mzima ulikuwa kimya kwa masaa mawili hata vibaka walienda kumtazama
 
Du! una experience nako! au ndo walikomchukua yule aliekufanya usitake tena kuolewa?

Nina uzoefu napo sana tuu. ...... yule aliibiwa mtwara huko baada ya kuonja samaki nchanga akanisahau Kasie mie. Sina hamu.
 
Hahahahahahaha nimecheka sana hapo kwenye degree ya kukata mauno umenikumbusha wakati wa kampeni sasa hivi nikuisoma namba tu.

Umeona eeeh wale siri yao wana chambia maji ya bahari..... mauno yenyewe yanaanza kuzunguka hata ukiwa unapuu yana round tuu......

Msini kariri. .....😛
 
Uwekezaji uliobakia kule ni mapenzi tu
Digrii ya kuloweka nguo za mpenzi asiondoke
Digrii ya mapishi na mahanjumati
Digrii ya kukata mauno
Digrii ya lugha tamu na laini ya kumtoa nyoka pangoni. ...
n.k. n.k. ......
Hahaaaaaaaaa
 
Uwekezaji uliobakia kule ni mapenzi tu
Digrii ya kuloweka nguo za mpenzi asiondoke
Digrii ya mapishi na mahanjumati
Digrii ya kukata mauno
Digrii ya lugha tamu na laini ya kumtoa nyoka pangoni. ...
n.k. n.k. ......
Sorry, we ni ME au KE?
 
Tanga mji umedorora sana ule. Ukitaka kukata mtaji wako basi nenda kafanye biashara mji ule.
Watu wake wanapenda bei chee sana... eti faida kubwa ya nini dini imekataza! Wana umwinyi hatari na kulialia kwingi.
Waarabu wengi wa Tanga wanahamia Handeni walau kuna unafuu.
 
ILI mji upate maendeleo lazima kuwe na Vivutio vya uchumi. Kwa TANGA viwanda vimepungua kama sio kufa kabisa, pili mashamba ya mkonge yamekufa ambayo ndiyo yalikuwa yanasabibisha population, 3. Bandari ya tanga now imepungua ufanisi. 5. Wanyeji wanazuia wageni kuingia hvyo mchangamano na mwingiliano wa biashara hakuna.(ushirikina)
Mbona unaandika bila data wee mtumwa. Unaweza kuwa sahihi lakini si kwa maneno na emotions hizo.

No research no right to speak! Una chuki na jiji la Tanga sio bure.

Nafikir umekosea kuanza, anza kwa kuandika chuki yako dhidi ya Jiji hilo lakini kubwata bwata!
 
Back
Top Bottom