Kwanini jiji hili haliendelei?

Singidan

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
880
937
Hadhi yake sasa ni sawa na mkoa wa morogoro.

TANGA.jpg
 
Kuna watu kweli? Mbona sioni hata kivuli road.

Wote wamezamia dar
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Hakuna shughuli kubwa za kiuchumi, pia wazawa wenye uwezo mkubwa hawarudi kuwekeza.
 
ILI mji upate maendeleo lazima kuwe na Vivutio vya uchumi. Kwa TANGA viwanda vimepungua kama sio kufa kabisa, pili mashamba ya mkonge yamekufa ambayo ndiyo yalikuwa yanasabibisha population, 3. Bandari ya tanga now imepungua ufanisi. 5. Wanyeji wanazuia wageni kuingia hvyo mchangamano na mwingiliano wa biashara hakuna.(ushirikina)
 
Uwekezaji uliobakia kule ni mapenzi tu
Digrii ya kuloweka nguo za mpenzi asiondoke
Digrii ya mapishi na mahanjumati
Digrii ya kukata mauno
Digrii ya lugha tamu na laini ya kumtoa nyoka pangoni. ...
n.k. n.k. ......

Du! una experience nako! au ndo walikomchukua yule aliekufanya usitake tena kuolewa?
 
Uwekezaji uliobakia kule ni mapenzi tu
Digrii ya kuloweka nguo za mpenzi asiondoke
Digrii ya mapishi na mahanjumati
Digrii ya kukata mauno
Digrii ya lugha tamu na laini ya kumtoa nyoka pangoni. ...
n.k. n.k. ......
Hahahahahahaha nimecheka sana hapo kwenye degree ya kukata mauno umenikumbusha wakati wa kampeni sasa hivi nikuisoma namba tu.
 
Tanga imebadilika sana siku hizi.... Jiji linatanuka kwa kasi. Serikali haikuendeleza tanga.. Tanga ulikuwa mji wa viwanda, vi Wapi leo? Kiwanda cha mbolea, Ma blanket, matunda etc. Bandari bado haijaboreshwa. Reli ni kama imekufa. Hakuna train ya mizigo kwenda kaskazin ilihali Reli ipo...

Ask yourself went went wrong..
 
Back
Top Bottom