maelezo yako mazuri..lakini bila shaka hiyo heading yako inahitaji majibu! siku zote critical thinking ni mwiba kwa wachakachuaji
Hahahahahaaaa AshaD, nashukuru sana kusikia ni namna gani uliingia hapa, hii inanikumbusha mie pia kuna mahala hua tunakutana na marafiki zangu mara kwa mara, Mie mabest wangu wengi ni wanaume, kwa hiyo nikawa nawasikia kila siku wakiongelea JF, mie nikawaambia siwezi kabisa habari ya kusurf kwenye mablog na ma forum kila siku, na kumbuka hapo tukikutana wanaitana majina yao ya ID za humu.Hii imenifanya nikiingia humu nawajua wote na huwa nafurahia sana michango yao.
Mmoja akaniambia nijiunge akanambia ukijiunga utakuwa addicted hasa MMU, nikamkatalia,akanipa modem ya bure nilipofika home nika google kama kawaida nikaingia.tokea hapo nimekuwa sibanduki kabisa na sikuwaambia mpaka walipo guess ila still sijawahakikishia ID yangu. JF imenipa marafiki wa kila aina.Sijajutia kujiunga kila siku mpya inapoingia huwa kuna jipya na hii inafanya siku iende vizuri
Ahsante kwa kunikumbushia
Wakati ule nikiwa bado nakubali kuitwa Babu DC, nilioteshwa kuwa kuna uwanja mzuuri sana unaitwa JF....Nilipofika kwenye hiyo kitu nikakutaa actually kuna viwanja vingi....Baada ya kuranda randa huku na kule nikagota kwenye kimojawapo....
Kwa sasa niko kama addict wa hii kitu.....Nitafanya kila njia kuchungulia hata kama sitaongea kitu!!
Ubarikiwe sana Asha D na karibu kwenye ulimwengu huu wa uhuru wa maoni..Ila jiandae pia kukupana na visiki visivyo rahisi kuving'oa!!
Mzee DC
We acha tu mie nikifika ofisini napanga kazi zangu kwa mafungu matatu, kila fungu nikimaliza naingia humu tena mpaka naondoka home, bila malengo kazi zinalala.siku nikiwa tight naingia wakati wa lunchGaga thank you for sharing..... Na the above statement is so true lol...... usipokua mjanja kazi zinalala.... enjoy dear..
We acha tu mie nikifika ofisini napanga kazi zangu kwa mafungu matatu, kila fungu nikimaliza naingia humu tena mpaka naondoka home, bila malengo kazi zinalala.siku nikiwa tight naingia wakati wa lunch
Nilioteshwa kuwa siku moja Asha D ungejiunga JF.
Mzee DC nafurahi kwa maneno yako yenye insight na pia nashukuru kwa kuendelea/sisitiza hayo makaribisho, nimejipanga kuhusiana na hivyo visiki, najua sio rahisi but naomba Mungu aniongeze ustahimilivu na kwa kuwezesha hilo nimeona niweke signature ya kupambana nao ili nisije jisahau na kuingia mkenge... wala hata tu kuepusha BAN!
Hahahaha Mzee DC umenifanya niangue kicheko asubuhi asubuhi ofisini ngoja niendelee kutafakari hii statement yako maana ina mengi lol!!!!:biggrin1::biggrin1:Mhhhh Mdogo wangu TF,
Hiyo gia uliyoanza nayo ni nzuri sana....Sina shaka inaweza kukuvusha kila barabara hata kama ina matope na utelezi kiasi gani.
Nitazidi kukuombea ili huku tulipe na wewe siku moja ufike!! Ila usije kujinyonga ukikita si pazuri vile unavyotamani........Si unajua "hamu ni tamu kuliko tamu yenyewe"!!!!!
Mzee DC
Hahahaha Mzee DC umenifanya niangue kicheko asubuhi asubuhi ofisini ngoja niendelee kutafakari hii statement yako maana ina mengi lol!!!!:biggrin1::biggrin1:
Nilioteshwa kuwa siku moja Asha D ungejiunga JF.
Wewe nae kwani hilo ndo kauliza Asha D??
Mie kuna rafiki yangu aliadd bila mimi kujua nikawa napata reminder kwenye email kuwa we have missed you ..........................nikaamua kuanza kuchangia
Huyo hakika ni rafiki wa kweli (a friend in deed)...kizuri unakula na mwenzio kabaya unakufa nacho mwenyewe au?
Mzee DC