Kwanini jf habari nyingi za muhimu zinachelewa kifika kwa haraka.

hazole1

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
4,319
3,911
Saizi tupo karne ambayo dunia inaendelea kwa haraka na watu wengi wanataka vile vile kujua nini kinaenaendelea duniani kwa haraka.

Lakini hili jukwaa naona sehemu nyingi limepoa nakupoteza mvuto unakuta habari nyingi ni za kizamani achilia mbali jukwaa la kisiasa. na wakati huo na habari mpya za kila siku zipo. Mtu ukisema utupie kabahari kidogo unakuta wamefuta na
wanakumbia mmeweka jf ndio sehemu ya kutangazia blog.
Swali linakuja mbona sisi wngine jf tuliifahamia kupitia mitandao mingine inamaana hiyo mitandao ingekuwa na roho mbaya sisi wengine jf tungesipo ifahamu.

Na swali ninalo jiuliza kazi ya mod wa jf ni nini?
Au wenyewe kazi yao kubwa ni kufuta uzi za watu ?
Na ni kwanini wao nao wasiwe wanatuletea habari mpya na kwa haraka hapa jf kuliko watusubilie sisi tulete habari ndio wafute?

Ushauri wangu kwa jf msiangalie uzamani ila angalieni wenzenu wanafanya nini na nyinyi mfanye nini saizi dunia ilivyo ukizubaa sekunde moja tu wakati umepoteza vitu vingi sana.
 
Back
Top Bottom