Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,558
- 31,966
Haya ni matusi eti january naye anafaa kuwa rais? Kweli ccm imekufa
Labda kama hawamjui huyo kijana!
hatutaki mtu sijui mstaarabu,sijui mwadilifu,huo uadilifu apeleke kwenye family yake,baada ya jpm,tunaweka kitu kingine mfano mkuchika,au lugola
Hata Kongwa kwa mzee Job wapo juu?Nasikia bumbuli inawezekana ikawa ndio jimbo maskini kuliko majimbo yote
ila pale kongwa kumeendelea kidogo ndipo pia ilipo,MILEMBE MENTAL INSTITUEHata Kongwa kwa mzee Job wapo juu?
Madhara ya mifuko ya plastic ni makubwa sana,tena marufuku hii imechelewa,tafiti zinaonyesha mifuko hiyo kuchangia uwezekano mkubwa wa saratani kuliko hata uchafuzi wa mazingira,Hongera January,unatuepusha na SARATANIKabisa
Hamna alichofanikiwa kama waziri
Bora Magufuli aongozee milele kuliko kumpa huyu kiazi nchi, ikulu ataifanya yake na familia yake,
Kapungua kidogo
Jiwe anatukondesha. Ramani / ndoto hazisomi. Ndoto za Urais zinazidi kudidimia. Ila Mungu nae ni wa kuogopwa [emoji134][emoji3601]. Huyu kijana nahisi hakutegemea kama wakati wake ungeisha haraka vile.
Ndo bora ungemtabila mondi urais lakini lisu duu sijui unakwama wapi?Mpambeni ila jua sisi si wajinga tunatunza kumbukumbu vyema... Huyu ndiye yule aliyepitisha sheria za mitandao..... Hastahili hata kuwa mbunge sembuse urais.....
Lisu is our next president.. Hutaki, hama nchi mapema
wakimfukuza watamuweka nani? Makonda?