Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,871
- 155,834
1.Eti mwanamke mfupi sio mrembo, hata akiwa mzuri vipi.
2. Eti msichana akiwa na matege sio mrembo, hata akiwa mzuri vipi.
3. Eti msichana akiwa na kifua (lakes0) "maziwa" makubwa hata akiwa mzuri sana anaitwa sio mrembo
4. msichana mzuri mweusi naye aitywa si mrembo.
Jamani sisi kwa kejeli zetu ndio maana kina dada wanajichubua na kujiharibu na operasheni mbalimbali za kusaka urembo.
Tujirekebishe jamani