Kwanini iwe mwaka mpya?

Ni utaratibu tu.

Ndio maana sisi WAISLAM tuna kalenda yetu.

WACHINA wana Mwaka mpya wao.

WAETHIOPIA wana Mwaka mpya wao.

Hapo juu ni mifano michache tu niliyoitaja.

Kwahiyo usijiumize kichwa
Mwaka mpya ni mmoja tu ambao leo ndio tarehe 1 January, 2017 hao wengine wamebakia kufanya maigizo ya mwaka mpya wao, mfano hao sijui waislam waulize leo lini watakwambia jumapili, hao wachina hivyo hivyo,ukitaka kujua mambo haya ujue mwaka mpya ni wa kikristro unakwenda sawa na ratiba ya kikristo kwa kuwa mambo mengi duniani yanafanyika kwa ratiba ya kikristo, leo hii ukiagiza gari china invoice pamoja na tarehe ina reflect mwaka wa kikristo, wewe kama muislam jifanye unafuata mwaka wa kiislam kama utafaulu hesabu za probability zinazotaka tarehe ujue january ina siku ngapi mpaka december
 
Siku, mwezi, mwaka mpya wako ni ile tarehe yako ya kuzaliwa na pia pale wewe utakapoamua kubadilika na siyo vinginevyo... Hizi zilizowekwa ni taratibu tu za kidunia ili mifumo iliyowekwa ya uendeshaji na kututawala ifanikiwe... Ndiyo maana hata mwaka mpya wa serikali ni mwezi wa saba ndiyo mabadiliko hutokea... kuna nchi mwaka mpya wao ni mwezi wa pili (China), kuna nchi ni mwezi wa tisa...
 
Pamoja na kuwa na kalenda yenu, ila ni kama mfu, dunia nzima haifui dafu mbele ya Kalenda ya Kikatoliki(Gregorian.Calender)

Happy New Year of the Lord 2017
Kuna nchi nyingi duniani,hazifuati kalenda hiyo,unayoita ya kikatoliki,wakati sio kalenda ya kikatoliki,ni kalenda ya kawaida tu.
 
Kwa mwaka huu tumtumikie Mungu na watoto wetu KUT 10:24.......Ni mwaka wa mabadiliko kiroho.Tumtumikie Mungu na vitu vyetu
 
Nchi nyingi hazitumii kalenda hii ambayo iligunduliwa 45 BC(kabla ya kuzaliwa Yesu)itakuwaje uite kalenda ya kikristo,kwani kaingunduwa Yesu?Are there still countries that don't use the Gregorian calendar?
Mwaka mpya ni mmoja tu ambao leo ndio tarehe 1 January, 2017 hao wengine wamebakia kufanya maigizo ya mwaka mpya wao, mfano hao sijui waislam waulize leo lini watakwambia jumapili, hao wachina hivyo hivyo,ukitaka kujua mambo haya ujue mwaka mpya ni wa kikristro unakwenda sawa na ratiba ya kikristo kwa kuwa mambo mengi duniani yanafanyika kwa ratiba ya kikristo, leo hii ukiagiza gari china invoice pamoja na tarehe ina reflect mwaka wa kikristo, wewe kama muislam jifanye unafuata mwaka wa kiislam kama utafaulu hesabu za probability zinazotaka tarehe ujue january ina siku ngapi mpaka december
 
Kwasababu ulisema kila kitu ndo maana nikahoji

Kuhusu kuchelewa kujibu siwezi kuwa online masaa 24 shemeji yako hapendi....!
Tulikuwa wote hewani wakati tunafanya mazungumzo.

Na nilimaanisha kwa kipindi kile tulichokuwepo pamoja.

Haihusiani na kuwepo masaa Ishirini na Manne (24).

Na mpaka nilipotupia hiyo uliyonijibu, ulikuwepo kwa nusu saa mbele kabla ya kutoka na hukujibu, kwanini uje kujibu saa Mbili na Dakika kumi na moja asubuhi (8:11 AM)?
 
Mwaka mpya ni mmoja tu ambao leo ndio tarehe 1 January, 2017 hao wengine wamebakia kufanya maigizo ya mwaka mpya wao, mfano hao sijui waislam waulize leo lini watakwambia jumapili, hao wachina hivyo hivyo,ukitaka kujua mambo haya ujue mwaka mpya ni wa kikristro unakwenda sawa na ratiba ya kikristo kwa kuwa mambo mengi duniani yanafanyika kwa ratiba ya kikristo, leo hii ukiagiza gari china invoice pamoja na tarehe ina reflect mwaka wa kikristo, wewe kama muislam jifanye unafuata mwaka wa kiislam kama utafaulu hesabu za probability zinazotaka tarehe ujue january ina siku ngapi mpaka december
Kheri ya Mwaka Mpya
 
Tulikuwa wote hewani wakati tunafanya mazungumzo.

Na nilimaanisha kwa kipindi kile tulichokuwepo pamoja.

Haihusiani na kuwepo masaa Ishirini na Manne (24).

Na mpaka nilipotupia hiyo uliyonijibu, ulikuwepo kwa nusu saa mbele kabla ya kutoka na hukujibu, kwanini uje kujibu saa Mbili na Dakika kumi na moja asubuhi (8:11 AM)?
Duh! Kweli umenikomalia! nisamehe mkuu HARUFU sitarudia tena naapa akya Mungu kwa jina la Yesu.....!
 
Back
Top Bottom