Kwanini iwe mwaka mpya?

Hata kama ni la hovyo hovyo tu..!?
Ni Kheri tu, jambo la hovyo halihusiki hapo.

Ukishaona Ubarikiwe, ujue hapo ni Kheri tu.

Halafu jitahidi kuwa mwepesi unapotaka mazungumzo, sio unachukua muda mrefu kujibu
 
Usipende kuhoji hoji kila kitu huo ni Uchochezi

Heri ya mwaka mpya mkuu.
 
Ni Kheri tu, jambo la hovyo halihusiki hapo.

Ukishaona Ubarikiwe, ujue hapo ni Kheri tu.

Halafu jitahidi kuwa mwepesi unapotaka mazungumzo, sio unachukua muda mrefu kujibu
Kwasababu ulisema kila kitu ndo maana nikahoji

Kuhusu kuchelewa kujibu siwezi kuwa online masaa 24 shemeji yako hapendi....!
 
Mm sion logic yoyote ya mivisherehe ya namna hii sema bas nimezungukwa na watu hawashirikish ubongo kwenye maisha yao
 
Pamoja na kuwa na kalenda yenu, ila ni kama mfu, dunia nzima haifui dafu mbele ya Kalenda ya Kikatoliki(Gregorian.Calender)

Happy New Year of the Lord 2017
Yani hapa ndipo ulipofumbwa macho, bibilia ina miezi yake na miaka yake tofauti na hii ya gregorian. Soma vzr bibilia
 
Yani hapa ndipo ulipofumbwa macho, bibilia ina miezi yake na miaka yake tofauti na hii ya gregorian. Soma vzr bibilia
So What!!!
Mimi naongelea biblia hapa???

Biblia inakalenda yake ya Wapi..? Ya kiyahudi, julian au...?? Nini hasa unachotaka kusema..

Huu mwaka 2017 ni mwaka wa Bwana (Anno Domino) kadiri ya Kalenda ya Kikatoliki(Gregorian Calender)
 
Kukataa kusherekea mwaka mpya kwa mujibu wa kalenda yako ni ushamba mwingine, jiulize majira ya mwaka hujirudia baada ya muda gani! Katika Dunia kulizunguka jua, kitaalam tunasema, mwaka mmoja ni kukamikika kwa mzunguko mmoja! Unadhani kukamilika kwa nzunguko mzima mchezo na hata usisherekee?
 
Back
Top Bottom