Kwanini iwe Lowassa/Monduli na Dwight Howard wa NBA?

wake up Tanzania!!!!!!!!!!!!!!!!!11tatizo la lowassa ni nini?wabongo vyombo vya habari vikiwapeleka huku bila tafakuri mupo,Lowassa kachafuliwa kwa sababu ya urais 2015 ni best yake,lakini Eddy ni jembe la nguvu,he has an authority by nature siyo kama kina Sitta hata wajui wanataka nini,ndumila kuwili.Eddy ataendeleza Monduli hata nje ya Mbunge lenu la kinafiki,la mfalme Juha aliyelewa sifa
 
Kwa nini kwa Lowasa? Ulitaka aje kwako!!!!!!!!!! Mualike bado anapatikana.
Unasema Monduli ni heaven, kwa taarifa yako Heaven au Jehanam untatengeneza kwa akili zako na mikono yako mwenyewe uchaguzi ni wako.
 
Strategized, focused, capable, able, energetic, stable, dynamic. Huyu huyu ndo tunamtaka,wengine wanaiba na maendeleo hakuna, yeye hata akiiba lakini anadeliver, hakuna chochote kilichofanyika cha maana baada ya yeye kutoka. Kama ni CCM tena mimi ni YES for LOWASA.
 
According to Dwight Howard,


After my camp this week, I’m off to New York to film an episode of 106 & Park for BET. Then, I’m off to Africa again for a 10-day trip. We’re going to Tanzania to take medicine and supplies to the people there in need. The trip to Africa a couple of years ago really opened my eyes to how many people around the world who are in need and I wanted to go back and help however I can. We had to take a bunch of shots before going to Africa to guard against the diseases there, but it will be worth it when we get there and have the chance to help the people out.


Source: here (Posted on August 3rd 2011)
 
Jamani Howard Mtoto mdogo sana mpaka nchi itangaziwe anakuja!Ila Monduli hakuna Heaven Yoyote Mnajidanganya!
Mie Mkweche Monduli napajua sana nimeishi miaka 2.
Upande wa Elimu ya watu wamonduli ni Ukweli Usio na Shaka Lowassa Kajitahidi Tangu zamani kuhakikisha wanamonduli wanasoma na Tangu enzu za Moringe Sec na Baadae Maasae Girl.Shule maalumu kwa wasichana wa Kimasai wanaotoroka manyanyaso mbalimbali kama Tohara na Kuozwa!
Watanzania Tunasumbuliwa na:
1)UONGO
2)WIVU
3)UVIVU hasa wa Kufikiri!
4)Kutokuwajibika
5)UBINAFSI
 
wake up Tanzania!!!!!!!!!!!!!!!!!11tatizo la lowassa ni nini?wabongo vyombo vya habari vikiwapeleka huku bila tafakuri mupo,Lowassa kachafuliwa kwa sababu ya urais 2015 ni best yake,lakini Eddy ni jembe la nguvu,he has an authority by nature siyo kama kina Sitta hata wajui wanataka nini,ndumila kuwili.Eddy ataendeleza Monduli hata nje ya Mbunge lenu la kinafiki,la mfalme Juha aliyelewa sifa
<br />
kabla hajaingia ikulu yuko karibu na hao jamaa na.mna hii, akiingia tu mnauzwa fasta kama kuku, nyie mshabikieni tu.
 
urais 2015 kwa lowasa ni njia ya mafanikio haijasakafiwa. . Kila tunavyomjadili ndo anazdi kuwa maarufu siku akiweza kupangua hoja zake hatakamatika tena. . Atakuwa next pr zdaa wa tz
 
Back
Top Bottom