Kwanini Israel imewaua Wajukuu na Watoto wa Haniya Kiongozi wa Hamas? Wajukuu wanahusikaje na Uovu wa Babu yao?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,149
Huu utaratibu wa Israel kuushambulia na kuuwa familia za Viongozi wa Adui zake imeshika Kasi sana

Israel asipokemewa sasa Tabia hii itaota Mizizi na kuenea duniani kote

Israel aambiwe hili siyo sehemu ya kujilinda, Wajukuu wa Viongozi wataanza kuishi kwa hofu

Nawasilisha 🐼
 
Mchuma janga hula na wa wakwao
 
Huu utaratibu wa Israel kuushambulia na kuuwa familia za Viongozi wa Adui zake imeshika Kasi sana

Israel asipokemewa sasa Tabia hii itaota Mizizi na kuenea duniani kote

Israel aambiwe hili siyo sehemu ya kujilinda, Wajukuu wa Viongozi wataanza kuishi kwa hofu

Nawasilisha 🐼
Acha wana waubèbe uovu wa baba zao
 
Hao madogo walikuwa wakilipwa hela nyingi sana.. kazi yao kubwa ni kuwapa information magaidi ya haas.. na kukusanya taarifa na kuziwasilisha kwa baba yao&co
 
Israel watapigwa tu (kwa sauti ya Mizengo Pinda)
Iran wanaendelea na mazoezi ya kumpiga Israel
1000005087.jpg
 
Mchelea mwana kulia hulia yeye...

Usipoziba ufa utajenga ukuta...

Kila mchuma janga hula na wa kwao...

Huu utaratibu wa Israel kuushambulia na kuuwa familia za Viongozi wa Adui zake imeshika Kasi sana

Israel asipokemewa sasa Tabia hii itaota Mizizi na kuenea duniani kote

Israel aambiwe hili siyo sehemu ya kujilinda, Wajukuu wa Viongozi wataanza kuishi kwa hofu

Nawasilisha 🐼
 
Ulitaka wafe watoto wa nani bro,kwamba mabaya yawakute wengine kwake yasifike wakati chanzo ni yeye?

Au unataka ku-adopt kwao itikadi ya CCM kwamba shule nzuri wasome watoto zao (mazuri) shule mbaya wasome watoto za maskini (mabaya)
 
Huu utaratibu wa Israel kuushambulia na kuuwa familia za Viongozi wa Adui zake imeshika Kasi sana

Israel asipokemewa sasa Tabia hii itaota Mizizi na kuenea duniani kote

Israel aambiwe hili siyo sehemu ya kujilinda, Wajukuu wa Viongozi wataanza kuishi kwa hofu

Nawasilisha 🐼
Oct 7 wale wajukuu waliouawa israel walikuwa na hatia gani?
 
Huu utaratibu wa Israel kuushambulia na kuuwa familia za Viongozi wa Adui zake imeshika Kasi sana

Israel asipokemewa sasa Tabia hii itaota Mizizi na kuenea duniani kote

Israel aambiwe hili siyo sehemu ya kujilinda, Wajukuu wa Viongozi wataanza kuishi kwa hofu

Nawasilisha 🐼
petty issues always!@
 
Israel ni taifa la hovyo. Mungu wao wao amekua akiagiza ugaidi kwa watu wasio wake miaka na miaka.

Kwa historia yao wenyewe Mungu wao aliagiza kubaka, kuua na kuteka wake na watoto wa makabila mengine yasiokua yake miaka na miaka.

Kipindi wanatoka Misri kwa historia yao wenyewe Mungu wao aliagiza wateke miji kama yeriko, waue wanaume wote, wabake watoto wadogo wa kike, wabake wake za hao wayeriko.

Hii Dunia ingekua salama sana kama kusingekua na dini, miungu imeharibu sana hii Dunia na kuagiza kutendeka mambo ya hovyo sana.

Halafu unakuta mtu na akili zake anamuomba Mungu wa Israel, mungu muuaji, mbakaji, mtesaji, mtekaji, Mungu gaidi. Mtu ana akili za kubaka na kuua atakusaidia nini?
 
Back
Top Bottom