Kwanini Iphone zina tatizo kubwa la finger print failure?

Kwanini Iphone zina tatizo kubwa la finger print failure?

Sijawahi ona sensor yenye akili ambayo ina-respond faster kushinda huaweiP9 kwanza hii simu ina co-processor i5 kwaajili ya fingerprint tu
Sometimes hata mikono yangu ikiwa na majimaji bado inakubali
 
Pole sana mkuu huu mwaka wa tatu cjawah kukubwa na hiki kitu inaonekana hiyo walibadilisha motherboard ili uwe na uhakika angalia IME ya nje ya iphone na ile ya ndan nenda General >>About>>IME je zipo sawa kama c sawa walibadili motherbord alafu nicheck
 
Nimetumia iphones kila toleo na hiyo ya iPhone 7 haikuwa na hilo tatizo kwasababu sensor ilikuwa ishaboreshwa tokea iPhone 5s. Hiyo yakwako inaweza kuwa single case kwasababu zinakuwaga mass produced faults zinakuwaga.
 
Back
Top Bottom