Kwanini Instagram na Facebook bado wanamlilia Magufuli?

Okay vizuri kama umekubali sasa.

Hakuna mahala nilipo
andika nimekubali


Screenshot_20210410-103552.png
 
jf kufungua page facebook haiondoi ukweli kwamba watz wengi ambao wapo active fb ni wajinga.

mfano mdogo, ingia fb then fanya spellcheck kwenye account za wabongo uone vituko.

Point yako ni nini hasa,wewe unajudge uwezo wa mtu kwa “spellcheck” nyie watu na Vingereza vyenu vya Google mnatusumbua sana
 
Jf na twitter ni watu wenye akili timamu

Huko kwingine ndio mtaji wa ccm
 
Shida sio kuwa wengi tunaangalia impacts ya mijadala kwa taifa, pia na Sheria za mitandao zilivo plus era iliyopita ilikuwa mwendo wa kusifu no questioning ka vile maandiko ya biblia huruhusiwi kukosoa.
Kama huitumii huwezi kuielewa,fb ni zaidi ya jf,halafu kule kuna watu utumbo wanaoandika humu kule hawezi kuandika.

Unahofia kuumbuka,mijadala inakuwa ya akili sana,kwasabu unakuwa unajulikana.umakini unakuwa mkubwa.

Tumia mitandao yote ya kijamii utapata jibu
 
Nje ya JF I am a facebook fan kwa wenye akili ndogo wenzangu.😄

Naipenda FB kwa ajili ya kupata habari za papo kwa papo, pia napenda sana kusoma komenti kwa ajili ya kujifunza mitizamo ya wachangiaji kuhusu habari fulani.

Honestly speaking kwa FB, kuna kaukwel fulan kuhusu hii mada, huenda kutokana na ufinyu wa akili zetu kama alivyosema mchangiaji mwenzangu aliyetangulia kuchangia.
 
Hahahahaaa....

Huwa nakaona.....

Halafu kabishi. Kanaonekana kafupi sana maana vijitu vifupi vina hasira kama nyegere.

Kabisa na mimi huwa napata hiyo taswira kama uliyonayo wewe,kule MMU kila ID kanayohisi ni ya Kiume utaona kanaruka nayo,nashangaa sana hapa Jukwaa la Siasa kamefikaje
 
Umeshamaliza kila kitu
Full wadangaji, mabeki 3 wanaelewa nini?
Wakulima wa huko ndani ndani... wanaelewa nini kwamfano kama siyo upepo fata mkumbo...
Hao watu wa facebook kwenye boksi la kura huwa wanajua pa kupeleka kura zao.

Na ndio majority of Internet users. Hesabu huwa hazidanganyi.

Ninyi delusional imbeciles wa JF wenye multiple ID's huwa hamna madhara yoyote.
 
jf kufungua page facebook haiondoi ukweli kwamba watz wengi ambao wapo active fb ni wajinga.

mfano mdogo, ingia fb then fanya spellcheck kwenye account za wabongo uone vituko.
Hakuna mtandao wa kijamii wa bongo wakaacha kufanya vituko .
 
Watu wa ovyo kweli wanacreate ID zaidi ya kumi kwa mtu mmoja,wanajuwanga kujipa moyo,njoo sasa kwenye uhalisia wakati wa uchaguzi,unabaki unashangaa wale wajuaji wa JF wako wapi?
Halafu mbona na wewe unatumia I'd tatu kwenye huu Uzi mmoja yet unawasema wengine humu
 
Utafiti wako upo shallow sana kwakuwa ume screenshot comments kadhaa tu ambazo nadhani hata hapa JF kuna waliomlilia mwendazake kwa mamia yao na maelfu.

Nadhani kama unataka kufanya utafiti ungefanya polling katika hiyo mitandao yote ili tupate picha halisi. Hii ndio approach ya kisomi katika kufanya research kuhusu jambo fulani.

Sio unafikia conclusions kwa mere screenshots halafu unabandika uzi hapa. Jaribu kutushawishi vizuri, mimi hunipati hapa.
 
Kama huitumii huwezi kuielewa,fb ni zaidi ya jf,halafu kule kuna watu utumbo wanaoandika humu kule hawezi kuandika.

Unahofia kuumbuka,mijadala inakuwa ya akili sana,kwasabu unakuwa unajulikana.umakini unakuwa mkubwa.

Tumia mitandao yote ya kijamii utapata jibu

Bora umempa shule huyu,nimemuuliza swali ameshindwa kujibu,Users wote wa IG na FB Worldwide ni wana akili ndogo kuliko yeye anaetumia JF,naona anaruka ruka tu.
 
Sawa endeleeni na matusi yenu nyinyi si mnajua kuongea sana. Ila mjue wananchi sio wajinga wanamjua mbaya kwao na mzuri kwao. Magufuli kawafanyia mengi mazuri haya matusi ya kumuita fisadi yatawahukumu siku moja.
Wajinga tuuu wspo huko
 
Back
Top Bottom