Emery Paper
JF-Expert Member
- Jun 1, 2019
- 1,429
- 2,713
mwanamke hatakiwi kukuzidi kitu chochote
ili ndoa iwe inakalika hata kidogo
kuna mwanamke alimtafutia sababu mumewe
akamwambia mwanaume gani una mapengo yaani katafuta vyote alivyomzidi akakosa akahamia kwenye meno
sasa hivi nimeogopa kung'oa meno
mwanamke urefu wake uishie kifuani kwako au shingoni zaidi ya hapo hatonogaHabari za asubuhi wakuu!
Kama heading inavyojieleza hapo juu, katika tathmini yangu ya muda mrefu kila couple/wapenzi nnaokutana nao au nnaowafahamu ni nadra sana tena sana kukuta mwanamke ni mrefu zaidi kumzidi mwanaume.
Swali langu ni kwa nini wanaume hatupendi wanawake waliotuzidi kimo na wanawake hawapendi wanaume waliowazidi kimo ? View attachment 1114910
mwanamke urefu wake uishie kifuani kwako au shingoni zaidi ya hapo hatonoga
Mie napenda mwanamke alienizidi urefu.
Ili nimkamatie vizuri kiunoni inabidi niwe shorter kidogo. Otherwise avae high heels.
Sijawahi kutana hata barabarani na mwanamke aliyenizidi urefu.
...tehRekebisha kidogo mkuu Ke wanapenda waliowazidi kimo ukikuta ke kamzidi me na ni couple kibongobongo jua me anakila kitu kasoro urefu tu
mwanamke hatakiwi kukuzidi kitu chochote
ili ndoa iwe inakalika hata kidogo
kuna mwanamke alimtafutia sababu mumewe
akamwambia mwanaume gani una mapengo yaani katafuta vyote alivyomzidi akakosa akahamia kwenye meno
sasa hivi nimeogopa kung'oa meno
Wanaume wengi wana inferiority complex na fragile masculinity.
Ndo maana mwanamke akimzidi kidogo urefu anajiona ana kasoro.