Kwanini idadi kubwa ya wanawake wasomi hawaolewi?

Wakaka wengi walio comment humu wana insecurity balaa....sijui ndio ile fragile ego ya wanaume
.

Kama mwanaume unaona hutaweza kuoa mwanamke aliyesoma na mwenye kazi nzuri basi oa huyo ambaye hajasoma na hana kazi nzuri. Kila mtu afanye analoweza.

Halafu wakaka wengi hawapendi wanawake wenye elimu maana sio rahisi kuwa control plus anakua na ile logical thinking ya kum challenge mwanaume.

Mimi naona mwanaume ukiweza kuwa a provider, protector na an authoritative figure in a relationship hakuna mwanamke anaweza kukuzingua hata awe na elimu vipi.
 
Ina maana hakuna wanawake ambao hawajasoma na hawana hizo tabia au?


Ukiona mwanamke ana display hizo tabia kwako muache aende zake atakutana na mtu anayewezana naye huko mbeleni.

Shida wanaume mkiwa challenged kidogo tu mnahisi kama mnadharuliwa sijui. Au maybe lugha zinazotumika kuwa challenge ndio ambazo hamzipendi? Maana kama unakaa na mtu asiyeku challenge kuna uwezekano mkubwa usipige hatua kimaisha na kiakili pia
 
Unajua men and women are equal but not the same. We are very different from one another, na hizo tofauti zetu should not be perceived as weakness. Men and women work best if they complement each other instead of competing with each other.

Shida ni ile kutaka kuonekana kundi fulani liko sawa na kundi lingine limekosea. We could both be right and be wrong at the same time.

Kuhusu suala la wanawake kupewa muda mrefu kujiswafi kwenye biblia nahisi ni sababu ya hedhi na vitu kama hizo. Ila sio sababu ya kusema mtu ni mchafu sababu kapewa muda mrefu wa kuji swafi.
 
Wanawake automatically wana roho mbaya ndani kwa ndani.

Ni Kama Tulivyo Watu Weusi.

Laiti Kama Wangekuwa Na Nguvu Fulani Ambayo Wanaume Wanaoonekana Kuwa Nayo,

Dunia Ingekuwa Mahali Pabaya Zaidi Kuishi Kwa Wanaume
 
Nadhani mazingira ya chuo yaliwafanya kuwa na wanaume wasiokuwa na malengo ya ndoa,mwisho wa siku wanajikuta wamepotezewa muda.
 
Edelyn mbona unabadili badili sana majina

Edelyn-Mariana- Karma

Kwa taarifa yako tunakujua...comment zako hazijifichi
 
Edelyn mbona unabadili badili sana majina

Edelyn-Mariana- Karma

Kwa taarifa yako tunakujua...comment zako hazijifichi
Wewe na nani mkuu?? Mbona wenzio wengi wanajua tangu muda mrefu na mimi ndiye niliyewaambia?? Sema wewe ndiyo ulikuwa haujui au ulitaka hadi nikuombe ruhusa ya kubadili username?? Kuwa mpole!!
 
Sasa mkuu hiyo hoja ya mwanamke kumkosea heshima mume wake hiyo ni hulka na tabia tu ya mtu na haihusiani na kusoma wala kutokusoma mimi ninawajua wanawake waliosoma na wana heshima na vile vile ninawajua wanawake wasiosoma na wana jeuri!!

Kuhusu majukumu mimi naona inategemea kama mwanamke ana kipato au la lakini hata ninyi wanaume nanyi msiwe wabinafsi muwe mnafikiria sasa kama mke wako anakusaidia majukumu yako wewe unaona ubaya gani kumsaidia majukumu yake muwe na huruma jamani hata wanawake nao wanachoka yaani mahitaji ya nyumbani mtoe wote watoto msomeshe wote ila kazi za ndani na kulea watoto afanye mke peke yake kweli??
 
Mwanamke ukimsaidia majukumu yake anahisi ni wajibu wakoo...!! Dharau zinaanza aisee bora kuwa dikteta
 
Mwanamke ukimsaidia majukumu yake anahisi ni wajibu wakoo...!! Dharau zinaanza aisee bora kuwa dikteta
Mkuu kwani mwanamke kuhudumia familia na kutoa pesa ya mahitaji ya nyumbani ni wajibu wake??
 
Wawaoe hao hao mbulula, kama hawataki walioeda shule haina shida,
kuna mikoa binti mwisho la saba kisha unyago wakawachukue tu, pia na wao kbinti zao wasiwapeleke shule ili waolewe tu halafu wanaochonga sana wasomeshwa na mama zao ambao baba zao walikimbia majukumu na kwenda kwa michepuko
 
Peter leo unanifurahisha sana!! Unatema logics tupu.....big up chief!
 
Hata cha maana hakuna, watoto wao wakiwa na tabia za umalaya hapo hapo anasingiziwa mama , na wakipata maradhi ndiyo aakwanza kunywa dawa kimya kimya wakati mwingine Mungu huwaona wanawake kama wahanga
 
Kwaio hapo wewe, unaona unaongea UKWELI?!!

Kweli dunia ipo ukingoni, ngoja tumrudie tu Mwenyezi Mungu....no way!!
Hata hiyo comment yako ni ishara ya kuukataa ukweli, siku ukiijua maana ya ukweli na ukiukubali ukweli rudi tena.
 
Kutokujielewa tu!? Tunawaona humu wanaterekeza wake zao nakusema wana matatizo huko waendako kwa michepuko chamoto wanakiona na kurudi kwa wake zao aibu, unakuta mchepuko unamwendesha kama gari za mkaa
 
Haswa, wakiona wanawake waliosoma hawana heshima basi waende wakaoe hao wanawake wasiosoma ambao wanaona ndiyo wana heshima tatizo kaka zetu wanaishia kulalamika tu humu mitandaoni lakini kwenye uhalisia hawachukui hatua zozote na yote hiyo ni kwa sababu wanataka wapate wanawake wakamilifu ili hali wao wenyewe siyo wakamilifu na wanajua kabisa kwamba duniani hakuna binadamu mkamilifu.
 
Hata cha maana hakuna, watoto wao wakiwa na tabia za umalaya hapo hapo anasingiziwa mama , na wakipata maradhi ndiyo aakwanza kunywa dawa kimya kimya wakati mwingine Mungu huwaona wanawake kama wahanga
Halafu pia huwa wananishangaza sana, yaani wanafanya ujinga wao huko ila wakipata matatizo ndiyo wanawakumbuka wake zao na kurudi kujifanya wanahitaji msaada wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…