Chupi mpya tako la zamani
Kwa new ID. Halafu wengine nahisi wanapima upepo tu humu.Mlango wa new ID.
Hivi wale wenye ID tulizozoea ndio kusema hawana shida ya wachumba au ndio hawa wanakuja kivingine? Mimi siku nikiona old ID kama ya miss chagga atoto Valentina zinatafuta mchumba nachangamkia fursa faster!
Kwa new ID. Halafu wengine nahisi wanapima upepo tu humu.
Jiulize mtu anajiunga Leo na siku hiyo hiyo anatafuta mchumba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Dada yangu. Nikufundishe kutengeneza ID mpya tena? Ili ulete bandiko LA kutafuta mchumba humu hahahahaUlijuaje mdogo wangu? Hebu nifundishe jinsi ya kutengeneza id nije fasta.
Ndio, nifundishe bwana acha uchoyo.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Dada yangu. Nikufundishe kutengeneza ID mpya tena? Ili ulete bandiko LA kutafuta mchumba humu hahahaha
Sasa naanzaje kumfuata pm jamani, naona aibu.Nalisubiri hilo bandiko. Kama unam target mtu mfuate PM ukiweka hapa ni tumo!
Hivi wewe si ulileta bandiko humu lile la kiunyanyapaa!! Vipi ulipata au bado nafasi iko wazi?Nalisubiri hilo bandiko. Kama unam target mtu mfuate PM ukiweka hapa ni tumo!
Hata mimi nina ID moja tu. Labda tuombe msaada kwa mods watutengeneze ID mpyaNdio, nifundishe bwana acha uchoyo.