Kwanini huwa unashindwa kumvumilia?

Sep 5, 2018
86
131
Ukiwa mvumilivu haimaanishi kwamba wewe ni dhaifu, ila inamaanisha kwamba una nguvu kiasi cha kutosha kuzificha nguvu zako na madhara yake.
Screenshot_20211211-195056_1.jpg
 
Ila kiukweli sisi wanawake tuna majaribu sana.

Tuweni ty wakweli wanaume wanatuvumilia sana hii midomo yetu.

Afu tupo chap kujitilisha huruma na kushtaki dunia nzima 🤭🤭🤣🤣🤣

I fall in Love with your Comment.😘...
 
Mkizungua mkisemwa eti gubu. Nyie dawa ni kubonda hizo head zenu kwa vifuti😅😅
jaman kuna wanaume n wana gubuu, yaan kama hap mtaan kwetu kuna mume wa mtu n usku kucha analalama.....🤣🤣🤣hawez mpga mkewe maana mkewe n ana minguvu.
 
Ila kiukweli sisi wanawake tuna majaribu sana.

Tuweni ty wakweli wanaume wanatuvumilia sana hii midomo yetu.

Afu tupo chap kujitilisha huruma na kushtaki dunia nzima 🤭🤭🤣🤣🤣
Mbinguni Moja Kwa Moja wewe mwanamke.
 
Back
Top Bottom