Kwanini huwa unasema hili neno?

Na sio kila mtu anasema hivyo wengine hawazungumzi na hawakijui kiingereza
 

bubu nae huwa anasema hayo maneno?
 
jamani pato la taifa kwa mwaka huu linategemewa kufika Tshs ngapi?
 

Nyie endeleeni kupritend uzungu mtakuwa mnalalamika kila siku mnaibiwa wake zenu....sie tunapiga kiteja teja mwendo mdundo full mikito hakuna cha "am coming wala am going"......
 
Kuna wengine wanakuwa na uchizi unapigwa ngumi zakutosha au kukwaruzwa na makucha yao marefu!!utajuta usiombe yakukute....Nasikia mmoja walienda ukweni wakapewa Chumba sasa demu akamuwekea ngumu jamaa kuwa hapana hapa nikwetu sikupi maana utaanza kulia bure tupate aibu!...Jamaa akamwambia mkewe aky'anani silii basi akapanda honda yake unaambiwa aliposikia wazungu wanakuja akaangua kilio akisema "Si-si-nimekwa-kwa-mbiaaa sili siliii" hadi Baba mtu akaamka nakugonga vipi huko salama?? Mtoto wake wakike akasema huyu anaota kaanguka chini kutoka kwenye kitanda!!!:mod:
 

Hahaha..minakumbuka kuna mmoja alichana godoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…