Comment nyingi nazoziona Bado hazina majibu yaliyo nyooka,
Nachojua Mimi kuhama usiku point kubwa ni aibu kutokana na vitu tunavyomiliki vinakuwa havina muonekano mzuri
Mbona mkivinunua dukani mnavileta mchana kweupeeeee basi godoro la nchi kumi ,kabati na friji vitakaa nje weeeeeee!!!!!!
Wapita njia wote watavionaa,,,,lakini mtu una tivi ya chogo hata haieleweki hata AV input cable zimefungwa kwa nje baada ya sehemu husika kuliwa na panya,unapata wapi ujasiri wa kuhama nayo mchana,jua linawaka,mbuzi anakula majani..[emoji23][emoji23][emoji23]
Wengine wanamiliki mafriji kama fashion hata compressor halina,kwani usisubiri kiza ndio uhame
Wanao Hama mchana Kuna sababu hizi.....
1.Ugomvi na mwenye nyumba,au kutupiwa vyombo nje
2.Aina ya sehemu anayohamia,miundombinu mibovu ya barabara
3.Usalama, Kuna sehemu magari hayatembei/hayafiki nyakati za usiku
4.mtu anayehamia kwake,japo siyo wote