Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Imezoeleka kuona watu wanahama (kuhamisha mizigo) nyakati za usiku.
Watu wanaogopa nini kuhamisha mizigo nyakati za mchana ? Ni aibu ya aina ya vyombo mtu alivyonavyo au ni desturi ambayo haina mantiki yoyote?
Wapangaji kazi kwetu.