Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,349
- 8,081
Mh tena ukishika mwingine ananuna wiki haongei madai umuamini
!
!
sasa pichu si mnavua kwa maandalizi maalum mkuu!????.......tatizo kwenye simu kunaweza kuwa na vitu ambavyo hauko tayari kuvifuta kwa muda huo, hata hivyo vingine vinaweza ingia mda wowote vikaamsha waliolala Mie sishiki yake na yeye ya kwangu asishike bana. Kuwekana roho juu inahuuu.
Highlight hapo, ni ishara tosha kuwa huna uaminifu...! Kuishi na mtu wa machale ni bora kuishi mwenyewe..!
kiukweli sipendi kufuatiliwa mini mpaka utakapo ona siaminiki.. tumekuzwa kwenye culture tofauti utamaduni tofauti ni hili linaleta utofauti sasa unakuta mtu na mpenzi wake labda mi napenda kutembea usiku wewe unakuja na sheria zako usiku usitembee lazima nisitake kufuatiliwa once nakwambia am home elewa ... ila kufutiliwa kun kera kuliko maelezo ,.. ni hayo tu
aisee unatembea usiku.... lazima ww ni mwanga unawanga..... bora umesema mapema nilikuwa nishajipanga kuhamisha majeshi kwako.....ila kwa sasa basi tena!!
hakuna kitu nachukia kama mtu kushika simu yangu basi tu ni vile kichwa ngumu, yako sishiki yangu waing'ang'ania ya nn??!!!
Simu ni nini hadi isishikwe? Mbona anakushika ukiwa uchi na dushe anaingiza wala huchukii...ni kipi kinazidi mtu kuona utupu wako?
hiyo tamu naomba tuiache kwanza
mpaka ikaitwa simu ya mkononi na sio ya mikononi it means ni ya mtu mmoja, sasa kwenye cmu ya mwenzio watafuta nn wakati una yako????
atoto hapa unatetea kukosa uaminifu katika jamii. Hizi ni dalili za mtu kukosa uaminifu. Huwezi kusema mme wako eti 'anatafuta nini kwenye simu yangu'... Jaribuni kujenga uaminifu kwa kuwa wazi na hizo gadgets zenu..!
!
!
Dah.....yaani my wife wangu akishika tu simu yangu huwa napata moto kweli maana, looooh.
uh!!! hivi ktk hali ya kawaida unatafuta nn kwenye simu ya mwenzio??? huko ni kutokujiamini!!! sasa kama unamuamini wafukunyua tena simu yake kutafuta nini?
kila mtu abaki na simu yake fullstop.
Mkuu Eli79 nilikuwa nimeamua kufuatilia huu uzi kimya kimya ili nisome tu na sikupenda kuchangia. Comment zako hasa ndo zimenifanya nichangie! Kuna watu ukisoma mawazo yao unashangaa na wakati mwingine huamini wanachosema. Mtu ambae anavua nguo mbele yako, unamshika kila sehemu ya mwili,huna wasiwasi kwamba anaweza kukunyonga ukiwa umelala lkn eti simu inaonekana Muhimu kuliko yote hayo!!! Eti simu ashike yake na me nishike yangu! Hivi mnatania au mko serious!? Hasa mkuu atoto & miss chagga siwaelewi kwakweli. Hivi simu yangu km haina charge siwezi kutumia simu yako!?Kwani ni nani anayefanya mumeo akishika simu uwe na wasiwasi? Una mawasiliano na nani ambaye anazuia wewe kuwa wazi na simu? Simu ni ya mtu binafsi sikatai, lakini kuna mda naweza kuomba simu yako kama mtu wako niangalie picha kwa mfano, na wala sins intentions zozote mbaya.
..cha ajabu mtu anaweweseka na sababu kubwa wengi hawajatulia, yupo na Juma lakini atamani kuwa na Abdallah huku anafurahia kuchombezwa na Haruon.
Sad kuwa na mtu asiye mwaminifu..!
conditionally siyo kila ukijisikia kuipekenyua simu ushike... aisee ukiona unahamu ya kupekenyua simu embu njoo upekenyue papuchi aiseeeMkuu Eli79 nilikuwa nimeamua kufuatilia huu uzi kimya kimya ili nisome tu na sikupenda kuchangia. Comment zako hasa ndo zimenifanya nichangie! Kuna watu ukisoma mawazo yao unashangaa na wakati mwingine huamini wanachosema. Mtu ambae anavua nguo mbele yako, unamshika kila sehemu ya mwili,huna wasiwasi kwamba anaweza kukunyonga ukiwa umelala lkn eti simu inaonekana Muhimu kuliko yote hayo!!! Eti simu ashike yake na me nishike yangu! Hivi mnatania au mko serious!? Hasa mkuu atoto & miss chagga siwaelewi kwakweli. Hivi simu yangu km haina charge siwezi kutumia simu yako!?
Hebu jaribu kunipa sababu muhimu za kufanya hivyo. Hofu yako ni nini!? Kwa mfano ukiumwa ghafla ukawa hujazima simu na anayeshughulikia matibabu yako ni huyo mumeo,unalazwa hospital hujitambui,mwenzio anabaki na simu yako anafekenyua mpaka bhaasi! Hebu niambie ktk mazingira ya aina hiyo,kutakuwa na ndoa kweli ukizinduka!?conditionally siyo kila ukijisikia kuipekenyua simu ushike... aisee ukiona unahamu ya kupekenyua simu embu njoo upekenyue papuchi aiseee
Hebu jaribu kunipa sababu muhimu za kufanya hivyo. Hofu yako ni nini!? Kwa mfano ukiumwa ghafla ukawa hujazima simu na anayeshughulikia matibabu yako ni huyo mumeo,unalazwa hospital hujitambui,mwenzio anabaki na simu yako anafekenyua mpaka bhaasi! Hebu niambie ktk mazingira ya aina hiyo,kutakuwa na ndoa kweli ukizinduka!?