Mimi Nakutaka wewe, sijui hizi hisia tuziweke kundi gani? Its really confusing!anainupenda aneinichukia wala sijali
na mimi wala simpendi mtu wala simchukii mtu sina habaree sijali lolote
Nilishakwambia Nakupenda, najua hilo unalijua.unamchukiaje usiemjua, mm unipende usinipende utajua mwenyewe.
Chu! Gashinaga no bhebhe ulimunhu? Bha kukaya mlibhinge mJF gashinaga?Mlemhala nina monicca, olehaya ginehe?
Mimi nawapenda members woote woote wala simchukii yeyote
Ahsanteni
Kha! Unanikosha sana unapokasirika mtoto!Hana adabu huyo achana nae, mi ni burudani ya baba ake. ..
Hata sijakasirika wa kukaya , si unajua tena watoto kwa kuwafanyia kibri mama zao wa kambo....Kha! Unanikosha sana unapokasirika mtoto!
Hahahaha! Ni kweli, ni vyema ukiwakumbusha la sivyo watajisahau!Hata sijakasirika wa kukaya , si unajua tena watoto kwa kuwafanyia kibri mama zao wa kambo....
Wakati mie ndo namshusha baba ake presha..... Sijui wivu wa nini
Aaaanh! cute unataka umpe nan?Asante mkuu.
Sir name yako ni sawa na yangu.
Tunaweza kuwa ndugu.