Kwanini humpendi

Kwanini humpendi

Huyu naye mada zake za kipuuzi,I hope upo kwenye wenye IQ 30% below.asubuhi yotee hii unaanza kuchizika.
 
ngoja nichunie tu coz naamin nikimchukia MTU bas nimemchukia aliyemuumba kwa mfano wake.Tuvumiliane tu Monicca!
 
sasa unatangaza unamchukia iweje tafuta namna ya kumwambia yy mwenyewe cc haituhusu bifu hatutaki
 
Ahahahaaaa....

Kuna kakinuka K kamoja hivi humu ka-Kiislamu kanasemaga eti hakanipendi.

Huwa nacheka sana maana hata kunijua hakanijui lakini hakanipendi😀😀😀😀.

Ila wote wanaosemaga hawanipendi ni ma fans wangu tu na ndo maana huwa hawapitwi kusoma posts zangu na kuanza kuitana 'flani...njoo uone alichoandika Ngabu'.
Itakuwa Supermarket Hanifah mtoto wa mfalme wa morocco lakini si alishakuomba msamaha mkuu.

NB
*Siku mdomo ukiteleza ukimwambia mtu sikupendi basi ni vigumu sana kusahau "ni vizuri mtu ukiwa unamchukia au humpendi ukammezea tu kimoyo moyo bila kutamka"

SOLUTION:
*Endapo mtu akikukosea ni vema kuomba msamaha wa kweli (amaanishe samahani kweli) sio msamaha wa dhihaka "bas nisamehe" *Aje tu PM nyani ngabu sorry mkuu niliteleza naomba samahani yaliyopita si ndwele 'am so sorry' kila binadamu anakosea hakuna aliekamilika na mimi nakiri nimekukosea naomba unisamehe.
 
Upendo una siri kubwa sana maana mtu aweza kukutukana sana lakini bado unampenda ILA unaweza kuta mtu ni mwema kwako lakini humpendi kama unavyompenda sana yule anayekutukana na kukufanyia mabaya. Upendo ni . . . . . . . . . . . . . .
 
KISU CHA NGARIBA ni mtu mkubwa serikalini
Kwenye awamu hii hata uwe mkubwa huko serikalini ni shida tupu. Wakubwa wapo mpaka tulioko mtaani ndiyo tunawanunulia Heineken. Ukubwa serikalini ulikuwa kipindi cha Mr. Dhaifu siyo sasa!
 
Ahahahaaaa....

Kuna kakinuka K kamoja hivi humu ka-Kiislamu kanasemaga eti hakanipendi.

Huwa nacheka sana maana hata kunijua hakanijui lakini hakanipendi😀😀😀😀.

Ila wote wanaosemaga hawanipendi ni ma fans wangu tu na ndo maana huwa hawapitwi kusoma posts zangu na kuanza kuitana 'flani...njoo uone alichoandika Ngabu'.
Hahahahahahah,,,,,,,una maneno msukuma weweee ,,,,
 
Itakuwa Supermarket Hanifah mtoto wa mfalme wa morocco lakini si alishakuomba msamaha mkuu.

NB
*Siku mdomo ukiteleza ukimwambia mtu sikupendi basi ni vigumu sana kusahau "ni vizuri mtu ukiwa unamchukia au humpendi ukammezea tu kimoyo moyo bila kutamka"

SOLUTION:
*Endapo mtu akikukosea ni vema kuomba msamaha wa kweli (amaanishe samahani kweli) sio msamaha wa dhihaka "bas nisamehe" *Aje tu PM nyani ngabu sorry mkuu niliteleza naomba samahani yaliyopita si ndwele 'am so sorry' kila binadamu anakosea hakuna aliekamilika na mimi nakiri nimekukosea naomba unisamehe.

I don't give a hoot about riffraff.

Not on my level.
 
Back
Top Bottom