yaani wee ukishasahihisha mtihani wangu nikafaulu basi mwingine habadili msimamo.
Kweli kuna haja ya kufunza mabinti zetu kujiamini kwa vyovyote walivyo.
@cacico, kwanza nikiri kwamba kuiniita dear imeniongezea siku nne na nusu za maisha (ita tena tafadhali, ukiita darling naongeza mwaka wa kuishi kwa furaha) :A S tongue:.ndipo hapo ninapozungumzia kuwa upendo wa kweli HAUKUWEPO! Kama upo unasamehe mara moja, kwanza unajiona kuna kitu unakimiss na unajiona hujakamilika bila uwepo wa yule mtu! my dear RR tumepita kwingiiiii, tumevuka mengiiiiiii na kusamehe bila kikomo! ,maana najua ni wangu niliyepangiwa na MUNGU, na HAKUNA KUACHANA KATI YANGU NA YEYE! UPENDO DAIMA ILI UKAMILIKE NI SADAKA, U HAVE TO SACRIFICE! bila hivyo jiulize sana maswali, lazma kuna tatizo!
kuna wanaume washamba sana?....huyo afai katika jamii..kuzaa kitu gani bwanaaa?....ngoja nisain out maaana..khaaa..kwani mtoto ni sumu?
Dada huyo anastaili kabisa kupata alichokipata, 5yrs bado hajamueleza alikuwa anasubiri nini?
Mimi namshauri asiendelee kulia lia badala yake ajikite katika kumueleza huyo jamaa kama ataelewa basi itakuwa bahati yake.
wanawake wakiwa wasiri wanakuwa wasiri sana.five years ya mahusiano,unamficha mwenzako?inashangaza kwa kweli.ila mimi naamini huyo kaka atajirudi tu,mapenzi ya muda mrefu,kuachia just like that,huwa ni ngumu hasa ukiangalia tatizo sio kama mmoja ame cheat kuwa na mtu mwengine,ingawa suala la mtoto kulipokea hapo kwa hapo huwa ngumu,maana jamaa atahisi kama maybe kutakuwa na mahusiano na baba mwenye mtoto.
Please nisaidie Dada! .ni kauli ya Meggy hiyo Kwangu.
Jamani mie namsaidiaje huyu rafiki ?
M & N Wamekuwa wapenzi for more than 5 years sasa long distance na wakikutana kila mmoja ana hamu na mwenzie.
Dada yuko 29 yrs old
Kabla ya hapo Bidada aliwahi kuzaa mtoto wake ana miaka tisa na alikuwa anajipanga ni lini amwambie mwenzie.
Jamaa amekuja kutoka huko ovasizi na ilikuwa next jmos wafanye engagement tayari kwa mambo mengine.
Meggy jmos ya tarehe 09 akamuomba mchumba wake watoke out kwa maongezi.
Jamaaa kwa Furaha akaitikia wito..wakiwa wametawaliwa na vicheko vya upendo ndipo Meggy kavunja ukimya kwa kumwambia Mchumba wake
Kuwa ana mtoto wa miaka 9 na alingoja tu wapate muda mzuri ili amwambie.
Jamaa alinyanyuka kwa hasira na kusema Kwa nini hukunambia mapema ?
it is over between us..naomba urudi nyumbani na unisahau milele.
Baada ya hapo Kaenda kwa mchumba nyumba imefungwa..
Toka hapo Meggy anapiga simu hapokei ..
anatuma message hazijibiwi ni week ya pili sasa
kabaki analia tu hata ukiongea nae ni machozi yanabubujika tu.
Jamani akina kaka/baba afanye nini huyu dada maana amekuwa mgonjwa ghafla
Kina mama/dada mpeni mawazo huyu binti namuona kila siku anazidi kuchanganyikiwa..
Nawasilisha....!
Huyu Jamaa hapokei simu sasa sijui yuko wapi ..kwake amefunga hayupo ..inawezekana kisharudi ovasizi nitampatia wapi.Hapa ngoja tufunge kwa maombi mwenyezi mungu afanye miujiza .ww kama ni rafiki yako lzm utakuwa unamfahamu huyo kaka, mpeni muda theni ww ukaongee na huyo jamaa kumueleza ni jinsi gani rafiki yako ameumizwa hiyo breaking, but mueleze wazi kwamba rafiki yako anakiri kuwa alikosea kutomweleza tangu awali lkn pia anatakiwa amshukuru kwa kumueleza before marriage hapo kama kweli jamaa anampenda atamsamehe hebu muulize what if angemweleza after marriage? hapo ingekuwa no point of return! Binafsi nasema mdada amefanya makosa sana ila simlaumu jamani ni mapenzi alifikiri ataanzaje ila ni shujaa akaona asife na dhambi ya kumdanganya mtu. Nawatakia kila la heri warudiane kwa upendo.
hata mimi ningekasirika, nyie wanawake ndio mnapochemsha hapo, kama una mtoto inabidi ile siku ya kwanza mnakutana unamwambia ili hata ki akili aanze kujipanga unajua hivi vitu vina affect sana mental state ya mtu sasa wewe unamwambia mtu una mtoto a few days before the engagement day that's a mistake hata mimi nisingekubali. Hivi vitu ni very sensitive kwa maisha ya mtu kwa sababu yule mtoto atakua part of his life so inabidi umwambie toka mwanzoni kabisa ili ajue anasuka au kunyoa. Mpe pole imekula kwake
Mapenzi ya kweli yako wapi?
Mimi huwa sielewi unawezaje kaa na mtu kwa wiki nzima hujamtaja mwanao kama unaye.
Hainiingii akilini sababu mwanangu ni part and parcel yangu.
Yaani nikianza kumtamani tu mtu atajua nina watoto 3 kila mmoja na baba yake na hata majina ya baba zao atayajua.
Sio fair hata kidogo kuficha, yaani mtu unalala naye 24hrs hajajua kama una watoto?
Babu Dark City njoo unieleweshe hapa maana mie sioni kwa nini Meggy anashangaa kuachwa na kwa nini aendelee kumsumbua huyo kijana wa watu kwa mimeseji
Huyu Jamaa hapokei simu sasa sijui yuko wapi ..kwake amefunga hayupo ..inawezekana kisharudi ovasizi nitampatia wapi.Hapa ngoja tufunge kwa maombi mwenyezi mungu afanye miujiza .
Kwa kifupi jamaa amempigia simu jana na kumwambia It is over na anaomba Meggy azoee hiyo hali
Meggy kambembeleza na kumuomba apate muda wa kufikilia kwani wametoka mbali na walikuwa wanapendana kweli jamaa kasema hana cha kufikilia zaidi.it is over na amamaanisha.
Huo ndio mwisho wa Penzi la Meggy na N 😡
Kwa kifupi jamaa amempigia simu jana na kumwambia It is over na anaomba Meggy azoee hiyo hali
Meggy kambembeleza na kumuomba apate muda wa kufikilia kwani wametoka mbali na walikuwa wanapendana kweli jamaa kasema hana cha kufikilia zaidi.it is over na amamaanisha.
Huo ndio mwisho wa Penzi la Meggy na N 😡