Seriously, Meggy lazima ana issues na mwanae
Sidhani kama ana mapenzi naye sababu anamuona ni 'aibu' au 'anguko' kwake
ndo maana hana ujasiri kumtaja kwa watu anaodhani ni wa maana kwake.
Unakumbuka ile stori ya mdada aliyenywesha sumu mtoto ili aolewe?
Mi naona zinahusiana ila tofauti ni 'degree ya ukichaa' tu wa kutaka kuolewa ndio umetofautiana.
I know, mimi tumejuana maisha status kabla hata ya kuamua kuwa wapenzi. Hivyo tulivyoingia kwenye mahusiani kila mtu at least anajua what s/he is into. With my big mouth, sijui kuficha kuhusu my life ili ujue unapenda mtu wa namna gani.
First mdada, there is nothing wrong there kabisa...si kwa M wala kwa N.
a) It is wrong kuwa na mtoto nje ya ndoa -->>this explains N's reaction(naturaly lazima aumie).
b) Timing ya kumuambia ni perfect -ajue kabla hajamek decision ila having a child hata kama ni nje ya ndoa ni pride jamani...Yani mi nikiwa na mtoto I will tell every body simfichi hata kidogo...kwanza namfichaje na ntakuwa naye all the time?
c) M ampe N time and space ndo tools anazohitaji kwa sasa...If Upendo uliota mizizi atarudi tu- Love is Love bana. Kama hatorudi upendo usioweza kushirikisha kosa la minutes (It only takes minutes to get pregnant) which brings a precious life (the child)...si Upendo wa kweli na wa kung'ang'ania ajirudishe sokoni atapata mdau mwingine anayemstahili.
d) Dont judge him yet huo ni upepo tu utapita
hakumpenda kwa dhati! upendo wa kweli hauoni, husikii, haukwazi, hautafakari! nina mfano mdogo, cousin yangu alikuwa engaged, then jamaa akaenda masomoni south africa! waliendelea kuwasiliana baada ya mwaka jamaa karudi, aliporudi tu akamwambia cousin kuwa NIMEATHIRIKA NA HIV, if u ar ok tuendelee, if u ar not lets quit and i will understand u!
my cousin hakumuacha, waliendelea, walifunga ndoa, she is still negative sijui wanafanyaje? na watoto wawili wapo negative, and once ukikaa nao, utajua realy what luv is! shemeji akiumwa, mkewe hulala naye agakhan na kumhudumia UNCONDITIONALLY! Na tupo kumpa support! that is luv jamani! KAMA MTU ULIMPENDA UTAMUACHA SABABU YA MTOTO TU?? HAINIINGII AKILINI!
Kongosho, saa ingine najiogopa kwa kuona akili yangu inakaribia kufanana na yako, uwiii!
Yaani on the first date na mtoto ataongelewa na kupigiwa simu,kha! Amemkosea sana huyu kaka. Tatizo ni moja, hii ameisema siku chache kabla ya engagement, mengine atayasema a day before harusi ama? Akaanze upya aisee, keshalikoroga. Otherwise ampe kaka wa watu space akijisikia atarudi mwenyewe!
I know, mimi tumejuana maisha status kabla hata ya kuamua kuwa wapenzi. Hivyo tulivyoingia kwenye mahusiani kila mtu at least anajua what s/he is into. With my big mouth, sijui kuficha kuhusu my life ili ujue unapenda mtu wa namna gani.
hakumpenda kwa dhati! upendo wa kweli hauoni, husikii, haukwazi, hautafakari! nina mfano mdogo, cousin yangu alikuwa engaged, then jamaa akaenda masomoni south africa! waliendelea kuwasiliana baada ya mwaka jamaa karudi, aliporudi tu akamwambia cousin kuwa NIMEATHIRIKA NA HIV, if u ar ok tuendelee, if u ar not lets quit and i will understand u!
my cousin hakumuacha, waliendelea, walifunga ndoa, she is still negative sijui wanafanyaje? na watoto wawili wapo negative, and once ukikaa nao, utajua realy what luv is! shemeji akiumwa, mkewe hulala naye agakhan na kumhudumia UNCONDITIONALLY! Na tupo kumpa support! that is luv jamani! KAMA MTU ULIMPENDA UTAMUACHA SABABU YA MTOTO TU?? HAINIINGII AKILINI!
Asante Kaunga, maisha yenyewe yako wapi ya kupasuana mioyo kwa siri zisizo na mpango?
Yaani ni sawa na kuficha mimba wakati utazaa tu, bora mtu ajue mapema aamue kusuka ama kunyoa
Kama unadhani una 'big mouth' basi mie nina ungo lol
Sidhani, kuna wengine mamnyonyo yanakuwa ndala sababu ya kupanga tu list ndefu.
Kuna wengine wana saa sita kama ya kimasai au kizulu so huwezi jua.
Unajua kwenye uzazi baadhi wanakuwa deformed tofauti tofauti, wengine matumbo, wengine nyonyo, wengine sijui nini
Dah, its complicated I guess.