Kwanini hivi jamani...

Huyu labda alikua na lengo la kujifagilia kumbe ndo kaharibu kabsaaa

Hafu si muoni kwenye uzi wake
 
Mi ndio maana nishaonana na mmoja humu tulikula bata la kufa mtu na ni marafiki mpaka sasa,hao wengine onana nao utajutaa,,,
Ushaurii wadada wa huku kuweni makin na mtu unaeenda kuonana nae humu kuna type zote,

Kuna mmoja alitaka niingiza mjini akijua wa kuja,,kumbe mi nishagakuja mjini kitambo lakin nipo kijijini alinisikia tu
 
Niliyoyapata hapa bwana chairman ni kuwa.... hawa wafuatao wana sifa za kupewa kadi ya chama chetu
Linamo
Ms.Lincoln
geniveros
Jovitha

Uchenjuaji bado unafanyika kwenye smelters zetu.
 
mimi sijawahi kukutana na watu wa aina hii
ila wapo humuhumu na tunasikia malalamiko kila siku ya watu na wengine wanapeana makavu live
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…