Hata kama nilileta za uongo.. Ulitumwa uje ulete? Wewe ni mbea na mnafiki juu.hili halikuwa na maana kwenye kuweka sawa nilichoweka. Ni zamu yako kusema... na niwanafiki walininafikia kwangu lipo wazi.
Daby ni mbeya kwa lipi? Labda kwa tafsiri yako akilini mwako na sio akilini mwangu. Pm nilikuita au uliniita? Nani mbeya kati yangu na wewe. Uliyeniletea taarifa za uongo au niliyesema ukweli.
Nani kasema alishutumiwa kwa ajili yako. Ulikuja kusema mtuhumiwa atakuwa na press cha Ajabu hakutokea na watu walikuwa wanasubiri. Sasa huoni ulikuwa na cha kujibu? Ulitoa feedback gani baada ya mtuhumiwa kutokuja?
Huruma za nani? Ili iweje? Kuna wa kunihurumia humu? Naona hauna pointi zaidi ya kulalamika kutajwa palipostahili wewe kutajwa.
namna ipi? Namna zako na namna zangu ni lazima ziwe sawa ili iweje? Na wewe una namna yako ya kujitetea jitetee.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hao hao wanaopiga Vita ni wa kuchunguzwa.
Mfano Daby wa pili kukomenti kumbe chenga kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kurudia rudia kunitaja kwa kila unayemqoute nikutokujiamini....Hao hao wanaopiga Vita ni wa kuchunguzwa.
Mfano Daby wa pili kukomenti kumbe chenga kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
naona mhenga mimi ndo nimebakia kutumbuliwa hapa[emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Dhoo!!! Wahenga wanasema
Ukimnyoa,mwenzio na zako
Tia maji
[Color= yellow]Triple A[/color]
Hapa mwendo wa ubuyu na kushushia PepsiMwenye uzi naomba ku-subscribe kwa niaba ya dark angel
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
sent from motorola bapa and nokia jeneza
"""""hata kama nilileta uongo """"Hata kama nilileta za uongo.. Ulitumwa uje ulete? Wewe ni mbea na mnafiki juu.
Hata kama nilikufuata na kukuambia uongo .wewe kama mwanaume hauna kifua cha kumeza jambo ukaacha lipite??
Yaani mfano wa wanaume wasio na siri ,wanafiki, wambea jf daby wewe ni wa kwanza.
Mwanaume unakuwa mropokaji kama mwanamke .
Kweli wanaume wamevamiwa..
Sent using Jamii Forums mobile app
umeona eeehhh....maana mods nao!!![emoji1] [emoji57] [emoji57] [emoji57] wanakeraaHuu uzi sio wa kucheza nao mbali maana mods hawachelewi kufuta baadhi ya pages[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo hapa hatua kwa hatua muhenga huyo namuheshimu ujue
Acha niendelee tu kufunga pm akiiiiOhoooo...@Shunie@Maserati
sent from motorola bapa and nokia jeneza
Nimevaa boxer nakunywa bia yangu...Hapa mwendo wa ubuyu na kushushia Pepsi
Cc maserati
Nipo hapa ndugu
Jf kila mtu ni stranger . au wewe ni mwenyeji?Kurudia rudia kunitaja kwa kila unayemqoute nikutokujiamini....
Wewe umenifuata pm kabisa bila kukuita. Ukaja kuniambia rafiki yako anakuja,
Halafu unachotakiwa kujua kwangu wewe ni stranger ulijileta sikujui na wala sina mazoea ya pm na wewe.
Niliexpose taarifa za stranger aliyejileta pm kunipa taarifa za press hewa.
Hauna jipya... the same story the same shit.....Jf kila mtu ni stranger . au wewe ni mwenyeji?
Ha ha ha ha ha bado sana nitakuquote mpaka nichoke dunia ijue ulivyo mbea..
Nikufuate unifuate haihusiani na wewe kuwa chakubimbi..
Kwani kuna sheria gani inayosema kwamba watu Fulani ndiyo wanatakiwa wawe wa kwanza kufuata watu pm.?
Acha tabia za kike
Sent using Jamii Forums mobile app