Kwanini hivi jamani...

Nakupendaga tu vile uko real.

Hongera umeongea ukweli wa vile mambo yanapaswa kuwa.

Nimekupenda buree!
 
Ha ha ha
Unanijulia hali kila siku umekuwa daktari wangu?
Jamani nikikupa namba tuwe marafiki unaanza kunitongoza!Nikikataa unakasirika,nikiomba hela unanitangaza
Haaaaa unajua tatzo kuna watu uwa wanajua kila mwanamke ni kumtongoza tu.

Muda mwingine urafiki unatosha sana
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Azinyonye kwani zimekuwa chuchu?
 
unaniruhusu hii comment yako nimCC fulani mkuu?[emoji30][emoji30][emoji30]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi niulize tu,mtu unaweza kuwa mweusi afu K ikawa nyeupe??
ALAFU NYEUSI NAYO NI RANGI MWEEE!
Ndio hapo rafiki. Mana kuihalisia ni jambo la kawaida. Inashangaza sana watu wanapoligeuza kuwa ni ajabu.

Labda hawajajua kama nyeusi nayo ni rangi. Teh teh teh.
 
Mbona wake za watu kama wewe wenye wapenzi huku hujawasema ili waache hiyo tabia mbaya ya kuwa na michepuko huku JF?[emoji30][emoji30][emoji30].......je ni haki wake za watu kama akina fulani kuwa na wapenzi wengine huku JF na kuliwa free?[emoji30]
Hapana...sio vizuri kabisa.
Jf ni kama mtaani kwako tu.Hata mtaani au kazini watu kuchepuka sio vizuri na haitowah kuwa vizuri ila ndio inatokea.
 
Dawa ni kuichubua tu,iwe ya njanoi kama papai afu rangi ya mwili nyeusi Tu.
Nani kawaammbia K huwa inavutia kama ua?ndio maana ikafichwa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…