Kwanini helikopta uitwa CHOPA au APACHE?

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
2,567
Reaction score
419
jamani kuna kitu naomba tuwekane wazi hapa, ni kwa nini helkopta inaitwa CHOPA au APACHE?
 
chopa ndio kiswahili chake...asili ya kenya
 
mkuu chopa tumelitohoa tu... ni neno la kizungu chopper kwa maana ya helikopta. kwa hiyo hamna sababu yoyote ndo jina lake hilo.

kuhusu helicopter kuitwa apache hiyo ndo naskia kwako
 
apache ni aina ya helicopter ya kimarekani
 
Apache ni jina tu sawa na Toyota na Suzuki zote ni gari
 
mkuu chopa tumelitohoa tu... ni neno la kizungu chopper kwa maana ya helikopta. kwa hiyo hamna sababu yoyote ndo jina lake hilo.

kuhusu helicopter kuitwa apache hiyo ndo naskia kwako

mkuu mbona ISLET anasema chopa asili yake ni kenya?
 
ImageUploadedByJamiiForums1442840659.275271.jpg Apache ni helicopter ya kivita, waisrael wanazitumia sana kuwaua wapalestina ...
 
mkuu kwani chopa ni lugha ya kenya?

we mbona mgumu kuelewa...nimesema hicho kiswahili...sili ya kenya... narudia tena ni KISWAHILI... chopa imetokana na neno la kiingereza Chopper...
 
ok nimekupata vizuri
 
jamani kuna kitu naomba tuwekane wazi hapa, ni kwa nini helkopta inaitwa CHOPA au APACHE?

chopa ni chopper waingereza wameita hivyo kwasababu ya mapanga yale,chop maana yake ni kata,chopper ni kitu kinachokata kwa helicopter ni yale mapanga.
apache ni aina ya helicopter,kama gari toyota.
 
Back
Top Bottom