Kwanini haya yanatokea kwenye mapenzi?

Kwanini haya yanatokea kwenye mapenzi?

Mahabusu siku tatu zote hizo jamanii!
Nijuavyo pale unapewa nafasi ya kutoa taarifa kuwa uko polisi!

Akiwa kwenye shida anijulishe, na kwenye raha pia! Nini maana ya wapenzi sasa!
Huo ni mfano tu nimetoa. Maana yangu ni kuwa mtu anaweza kuwa yuko na tatizo akashindwa kupata nafasi ya kuongea na wewe. Labda nikupe mfano mwingine...amepata ajali amekimbizwa hospitali na simu yake ipo, wewe umetuma kameseji kako asubuhi...'mambo baby' hujajibiwa na umekauka unasubiri mpaka akujibu kameseji kako ndio utume tena au upige, hospitali wanasubiri walau mtu apige wamjulishe kuna mgonjwa, hawawezi kuchukua namba kwa kuwa simu ina password. Hapa si kwamba naunga mkono msururu wa meseji na ukitaka unikere nitumie mimeseji mfululizo ila sikubaliani pia na hiyo principle ya meseji moja kwa meseji moja, kama ukipiga hujapokelewa basi simu inayofuata ni lazima wewe uwe mpokeaji na sio mpigaji...mimi siwezi kufanya hivi
 
Naona unavyo umia juu ya ukimya wa upande flani na namna unavyo utafsiri huo ukimya... Sometimes nafikiri kuna vitu vichukuliwe kwa tahadhari sana .
Hamna inategemea na huyo mwanaume huwa ananitreat vipi
 
Bro unakosea sana hata kama humpendi text zote hizo haujibu dah. Mpaka nimehisi vibaya sio poa.
 
Aiseee mburukenge dah

ndio!!
kama mtu hujampenda ungemwambia toka mwanzo ya nini kumfanyia vituko? umesema mmeanza uhusiano toka 2017 siku zote hzo hukujua kama humpendi? na kwa nini hukumwambia toka awali?
 
ndio!!
kama mtu hujampenda ungemwambia toka mwanzo ya nini kumfanyia vituko? umesema mmeanza uhusiano toka 2017 siku zote hzo hukujua kama humpendi? na kwa nini hukumwambia toka awali?
Ni tamaa za kimwili ziliniponza, mimi mwenyewe najuta... Kinachozidi kuniuma bado anakataa wanaume wengine

ivi unazani kumwambia mtu humpendi ni kitu kirahis?
 
Mimi ni mwanaume wapo kweli wenye kushow love for me but siwapendi lakini huo unaoufanya ni zaidi ya unyama moto wako unaandaliwa kuni za reli maana miti hutaungua vizuri yaani mtoto wa wa watu kajibebisha mpaka kawa baby kweli lakini unamkaushia hivyo hembu geuza shilingi Kwa upande mwingine ingekuwa wewe ndo unafanyiwa hivyo ungekuwa na hali gani? Mnyooshee mtu kama humtaki ili aangalie sehemu ya kweli,, ataumia sana ukimwambia ukweli ila atapona tofauti na kuwa kimya akija kujua na kuambini mwenyewe ataumia sana na kidonda chake hakiponagi Kwa muda sana
Sawa mkuu
 
Ukweli utatuweka huru kama umpendi mtoto wa watu mwambie ukweli sio kumpotezea muda wake
 
Mkuu acha kumpotezea mda msichana wa watu,mwambie tu ukweli kuwa huna hisia nae kuliko kumtesa kiasi hicho.
 
Mimi nilivyoanza kumtongoza ilikuwa utani utani tu, sikudhani kama ataniganda hivyo, kiufupi nilimtani tu,
Huyu dada atakuwa hana vigezo unavyovitaka wewe, e.g msambwanda, sura nk.

Ila beleave me kuna siku utalikumbuka hili penzi
 
Huyu dada atakuwa hana vigezo unavyovitaka wewe, e.g msambwanda, sura nk.

Ila beleave me kuna siku utalikumbuka hili penzi
Ni mzuri usoni, ila ni mpole sana.. Msambwanda anao wa kawaida na hicho akiwez kuwa kigezo cha kutompenda mwanamke... Ni hisia nae tu sina
 
Ni mzuri usoni, ila ni mpole sana.. Msambwanda anao wa kawaida na hicho akiwez kuwa kigezo cha kutompenda mwanamke... Ni hisia nae tu sina
Nitumie namba yake pm mkuu, alafu kina kitu ntakuja kukushauri jinsi ya kumwacha huyo dada
 
Ni tamaa za kimwili ziliniponza, mimi mwenyewe najuta... Kinachozidi kuniuma bado anakataa wanaume wengine

ivi unazani kumwambia mtu humpendi ni kitu kirahis?
sasa unadhani hivyo unavyomfanyia ni sawa? mwambie tu ukweli humpendi ashike time yake, ataumia lkn atasonga mbele kuliko kukaa hapo anapoteza muda wake bure. set her free by telling the truth stupid!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom