Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,157
- 10,816
Kweli Dr.Slaa aliondoka na akili zote Chadema.
yaani aibu mkuu, jamaa lazima anavuta bangi mahli
haingii akilini mtu mzima kuja na thread kama hizi,
slaa kaondoka na watu wake
Kweli Dr.Slaa aliondoka na akili zote Chadema.
si lazma awe senior ila anayeaminika kwa boss.. hata kwako ukiondoka sio lazma majukumu umuachie mtoto mkubwa ila Yule atakayeweza kutimiza majukumu we uliwa haupo
Maswali mengine yanatia kichefuchefu jinsi yalivyo ya kijinga!!!Heshima kwenu wana Jf, nikiwa naangalia taarifa ya habari ITV leo saa mbili jioni, nimemwona mkuu wa wilaya ya kinondoni Mh Ally Hapi akiwapongeza Zantel kwa kulipa deni la Ml300, hapo hapo mtangazaji akimwita "kaimu mkuu wa mkoa wa dar es salaam." Mwenye kujua atujuze sababu ya Mh Paul Makonda kukaimiwa, au yupo likizo? Natanguliza shukrani.
na kwa waliopo senior ninyule Dada wa Ilala... ila kwakuwa hana MIHEMKO kama wenzake hawezi kukaamishwa... alitakiwa naye awe MTU wa kujitoa ufahamuKwa kawaida RC akiwa safari au likizo kuna DC mmoja wapo huwa ana kaimu nafasi hiyo. Lakini ni yule Senior zaidi ya wengine na sidhani kama Hapi ni senior kwa wengine waliopo. Mambo yanakwenda shagalabagala sasa hivi kama club ya pombe ya Wanzuki au dengerua
Picha
hii ni ofisi ya umma sio familia,get serious bhanasi lazma awe senior ila anayeaminika kwa boss.. hata kwako ukiondoka sio lazma majukumu umuachie mtoto mkubwa ila Yule atakayeweza kutimiza majukumu we uliwa haupo
makondA yupo likzo £@USAHeshima kwenu wana Jf, nikiwa naangalia taarifa ya habari ITV leo saa mbili jioni, nimemwona mkuu wa wilaya ya kinondoni Mh Ally Hapi akiwapongeza Zantel kwa kulipa deni la Ml300, hapo hapo mtangazaji akimwita "kaimu mkuu wa mkoa wa dar es salaam." Mwenye kujua atujuze sababu ya Mh Paul Makonda kukaimiwa, au yupo likizo? Natanguliza shukrani.
Mkuu umenena sawasawa kabisa sasa sijui tatizo la wakuu wa wilaya kusemwa wanakaimu nafasi ya Mkuu wa mkoa linaanzia wapi?ama ni kwa vyombo vya habari au kwa wenye nafasi hizo kutoelewa utaratibu.Hata hivyo Mkuu wa Wilaya anaweza kukaimu Ukuu wa Mkoa iwapo ataapishwa na Rais kukaimu nafasi hiyo.Serikali ya awamu ya nne ilitoa mwongozo mzuri wa kukaimu nafasi ya mkuu wa mkoa/wilaya lakini haukufuatwa sana kwa nafasi ya mkuu wa mkoa mara nyingi wakuu wa mikoa wanapokuwa likizo au safarini humkaimisha mmoja wa wakuu wa wilaya katika mkoa wakeWakuu,
Kisheria nafasi ya Mkuu wa Mkoa akiwa Safari au nje ya Mkoa basi Mkuu wa Mkoa jirani atapaswa kukaimu nafasi hiyo, hivyo hivyo Kwa DC pia DC wa Karibu na wilaya atakaimu nafasi ya DC Kwa kipindi chote atakachokuwa nje ya ofisi na RC ndiye atakayemteua atakayekaimu nafasi ya DC
Kwa upande wa RC basi Waziri mwenye dhamana atamteua RC wa kukaimu. DC hapswi kukaimu nafasi ya RC hivyo hivyo Afsa Tarafa hapaswi kukaimu nafasi ya DC.
DC atamwakilisha RC tu endapo RC atakuwa nje au anadharura. Nafasi ya RC hukaimiwa na RC na siyo DC Kwa sababu viapo vyao ni tofauti kabisa!
Naomba kuwasilisha
Mjinga mkubwa! Utamfuatilia mpaka chooni!kichefuchefu? wahi labour
Picha