Kwanini Hapi anakaimu nafasi ya Makonda?

Kwanini Hapi anakaimu nafasi ya Makonda?

Atakuja jaani (UKAWA ) na hakuna shaka mtamsifia kwa haya leo mnayoyaona mbaya.
 
Swali hapa ni sababu ya Mkuu wa mkoa kukaimiwa, hatakama angekuwa amekaimiwa na mtu yeyote, nini hasa sababu ya yeye kukaimiwa? je anaumwa?, ama yuko likizo? just curious.
amewakilishwa na hapi
 
Kwa kawaida RC akiwa safari au likizo kuna DC mmoja wapo huwa ana kaimu nafasi hiyo. Lakini ni yule Senior zaidi ya wengine na sidhani kama Hapi ni senior kwa wengine waliopo. Mambo yanakwenda shagalabagala sasa hivi kama club ya pombe ya Wanzuki au dengerua
... Dengelua not Dengerua... Hii ni Pombe ya heshima aisee...
 
Heshima kwenu wana Jf, nikiwa naangalia taarifa ya habari ITV leo saa mbili jioni, nimemwona mkuu wa wilaya ya kinondoni Mh Ally Hapi akiwapongeza Zantel kwa kulipa deni la Ml300, hapo hapo mtangazaji akimwita "kaimu
mkuu wa mkoa wa dar es salaam." Mwenye kujua atujuze sababu ya Mh Paul Makonda kukaimiwa, au yupo likizo? Natanguliza shukrani.

Likizo
 
Kumbe hata humu jf kuna Watu wa hovyo sana. Yaani mtu yupo Serious kabisa Kuwa RC anaposafiri anamkaimisha senior?? Tunapoondoka maofsini tunakaamisha mtu atakayesimamia vizuri na ambaye ninamwamini na siyo uzoefu
 
Robot ikishasetiwa usitegemee iende kinyume, huyo siyo binadamu, wewe unashangaa kwa sababu hujui kwamba mtu mmoja anaendesha zaidi ya ID 30 jukwaa la siasa.
kaazi kweli kweli
 
Sijui kama ameshaanza kuhesabu miaka iliyobakia maana sijui atafanya kazi na waziri gani kwa sasa akija kuwa Rais! Amewavuruga wana ccm wote kw kiherehere!! Ikiisha miaka 10 ya huyu aliepo na yeye ajiandae kustaafu siasa maana wata dump sababu misifa yake ya kijinga!! Atafute cha kufanya.........!!!


Mmmmmh kama unamuonea vile
 
Back
Top Bottom